kusaidiwa!

Mwanamke ana cheat, analea mimba, mtoto anazaliwa... anakua na kuanza shule nk,... Kwanini hamwambii ukweli mumewe kabla/baada ya yote hayo mpaka DNA au msukosuko wa maisha uje kutoboa siri hiyo?

The underlined part is the most interesting aspect.
Ever heard of the word S-U-I-C-I-D-E?Mbu you know better why they dont tell......no man can take the fact that his wife has slept with another man let alone kuzaa!
 
mmh,nampa pole sana jamaa,ukwli hii ni kukosa mapenzi tu,utamuachaje mkeo kwa rafiki?kisa mtoto?mapenzi yajali hayo yote;.
 
...na huyo mke aliyezaa watoto wawili nje ya ndoa, unatoa ushauri/hukmu gani?
 
Nafikiri kikubwa hapa ni ukosefu wa communication for the couple with children- kama mama aliona hashiki mimba angekwenda check then amshauri namwenzie akacheck. Kwa couple iliyoajiri mtoa mbegu at least walikuwa wanacommunicate hadi kufikia huo muafaka kosa lao ni kuwa wameamua uamuzi mbaya wakati other alternatives zipo. Si wangekwenda for adoption, au hata sperm banks kama issue ni mtoto azaliwe na mama?

Ila hili ni fundisho kwa wote jamani wanaume ili kuepusha aibu kama hii isikupate au usidanganywe na mamsap please nenda kajicheck uwezo wako kabla hujaamua mengine.
 
...:D SAFI SANA! ...ila sikubaliani na hiyo ya kwenda sperm bank, chaguo la mbegu ni lake mkulima ati!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom