Kusaidiana kwenye ndoa...

welll said dear.
 
briliant my dear!!!!!
usafi ni sifa muhimu sana kwetu...................
 
MJ1 juzi alikuwa anaumwa, una mawasiliano nae umuulize anaendeleaje? cjamuona toka jana.
Nimeongea naye asubuhi anaendelea vema. Leo yuko job.

Umeona sasa? Unajua wajibu wa kufua kufuli ni wa nani afu unatuzengua tu hapa.
 
Najaribu kuimagine hiyo chupi ya kulowekwa usiku kucha ndipo ifuliwe itakuwa imevaliwa kwa siku ngapi? To me kufua a single chupi ni kazi ya dakika kama tano tu!

wanafua nguo za ndani kwa Mwezi mara moja - ndiyo maana zinalowekwa!
 
Nimeongea naye asubuhi anaendelea vema. Leo yuko job.

Umeona sasa? Unajua wajibu wa kufua kufuli ni wa nani afu unatuzengua tu hapa.

ngoja nikuache nasikia kuchoka usije ukaniliza buree mapema hii..............
 
MJ1 juzi alikuwa anaumwa, una mawasiliano nae umuulize anaendeleaje? cjamuona toka jana.

Iribini amejibu my dear.....thanks for asking at least we knw she is doing much better!!!
 
Yeah, rare i agree. You are of your own type, disrespectiful of women, humiliator and bossy. Real men dont do that.

hifi fineno fina harufu ya beijing........................ zingatia wajibu wako mama, azawaizi tusilaumiane siku moja................... makufuli mi kufua no, no, no, no......... no............................ labda kama umekatika vidole, na hiyo ni spesho kesi............. kuna faida gani ya kuoa sasa............................ na hayo majibu yenu ya kibeijing yatawacost wengi.............................
 
Tukifanya masihara na hawa watu watatutaka tupangiane zamu ya kupika!
 
Tukifanya masihara na hawa watu watatutaka tupangiane zamu ya kupika!

mkubwa, kibaya zaidi wao hawayafanyi majumbani mwao, wanawadanganya mabinti wanaosubiri kuchumbiwa ............... yanapowakuta na kutwangwa makofi wao ndoa zao shwariiiiiiiiiiiiiiiiiii....................

waonye akina pearl, bht nk, sio wavutie spid ndoa halafu waishie kunawa washindwe kula.................
 
Tukifanya masihara na hawa watu watatutaka tupangiane zamu ya kupika!

Utakuja ambiwa ufue hadi skin taiti na khanga ukimaliza uoshe vyombo na upige deki yeye anaenda saloon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…