Kusaidia jamii inayokuzunguka

Deceiver! You are deceiving !!hahahaha
 
Wyatt Mathewson
Kama jamii haina ajira za kutosha masikini wanaongezeka ndiyo maana mabeberu wamewezesha watu wenye uwezo kuzalisha ajira na wanapatiwa msamaha wa kodi kwa miaka ya kwanza ili biashara ziimarike.

Kuna maji si ya walemavu, wengine ni walemavu wasioweza kuajirika hawa wanahiraji msaada

Wagonjwa wajane na yatima. Kuwa Saidi’s si lazima kutangaza. Wale wanaotangaza hawana tofauti na Mafarisayo.

Kutoa ni moyo si utajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…