KUSAGA vipi Radio yetu?

Status
Not open for further replies.

dizbap

Senior Member
Nov 25, 2009
156
86
Clouds Sasa kwa kweli Mna Boa... Kama Huyo Ruge Anahoja na anaona SUGU anamuonea Basi aitishe Press Conferrance na Ajibu Hoja Otherwise Kama hamna vya Kutangaza Zimeni hiyo radio. Mimi anayoongea Sugu naona yupo sahihi ni kweli mtakuwa mnawaminya sana wasanii kwa maana Hata wasikilizaji wenu tu huwa mnawabania, Washindi Mashindano mbali mbali mnayoyaendesha hapo clouds huwa hawapati Zawadi mnazosema, Kwa Mfano kuna wasikilizaji watatu walishiriki lile Shindano la Zantel la High Life wakashinda Lunch at Holiday inn mkasema mtawapigia you never call back na huu ni mwezi wa 3 na Juzi tena mlikuwa mnaendesha ile ya lakionea (Zawadi ya Sh. laki moja) mkahahidi kuwa pigia simu na kuwafungulia account washindi mpka leo hii KIMYAAA. Sasa Boss wenu akiambiwa tapeli mnakuwa Wakali. WHY?? Mjirekebishe. Imekuwa sio radio ya Watu sasa imekuwa Radio ya Wezi!
 
Mh mwenzetu una details za ndani sana kuhusu clouds (hayo mambo ya zawadi and etc)...unafanya kazi pale nini?
 
Subiri atakuja kujibu mwenyewe Ruuge kwa ID yake ya MWITA25.
 
Ule wimbo wa Sugu walioupiga asubuhi kwenye PB umewadhalilisha wao Clouds kuliko Sugu kwa kuwa mengi aloosema ni ya kweli. Clouds matapeli sana. Wanatajirika kwa kutumia vipaji vya vijana wadogo masikini wa nchi hii.
 
Bwana hao jamaa ni wazushi sana kuna siku nilikaa redioni 2hrs nikisubiri watoe number ili nipige niweze kujishindia ticket kwa ajili ya fly 540 toka swali lililokuwa likiulizwa hapo redioni mitaa ya saa 11 mpka saa moja hivi jioni. Cha ajabu hawakuitaja ile number tena hivyo siku weza piga simu, ghafla nasikia wana tangaza mshindi. Nilichukia chukia mpaka mwisho....wala li-redio lao sisikilizi tena tangu ile siku manake walikuwa wanasema piga simu piga simu lakini namba hawaitaji.... nasupport hawa ni wezi. Kwa hasira nikapiga ofisini kwao duu nilizungushwa mpaka basi nikakata tamaa maana nilitaka niwape live!
 
Subiri atakuja kujibu mwenyewe Ruuge kwa ID yake ya MWITA25.

Atajibia REDIONI si Ndio zake! Ila kwa kweli wanajiabisha sana.... Yani ni bora Ruge angekaa KIMYA tu. Mwanzao Mengi huwa na ruka majoka na Press Conference alafu anakuwa na Maushahidi kibao plus kutumia nusu saa ya taarifa ya habari ya ITV kujiosha. Sio ya Ruge na Gerald kuohojiana kwa scripts!!
 
Bwana hao jamaa ni wazushi sana kuna siku nilikaa redioni 2hrs nikisubiri watoe number ili nipige niweze kujishindia ticket kwa ajili ya fly 540 toka swali lililokuwa likiulizwa hapo redioni mitaa ya saa 11 mpka saa moja hivi jioni. Cha ajabu hawakuitaja ile number tena hivyo siku weza piga simu, ghafla nasikia wana tangaza mshindi. Nilichukia chukia mpaka mwisho....wala li-redio lao sisikilizi tena tangu ile siku manake walikuwa wanasema piga simu piga simu lakini namba hawaitaji.... nasupport hawa ni wezi. Kwa hasira nikapiga ofisini kwao duu nilizungushwa mpaka basi nikakata tamaa maana nilitaka niwape live!

Wewe ni PM nitakupa namba ya Producer wa VIPINDI vyao(Au niitoe Hapa HADHARANI) ambae mimi binafsi nilisha mpigia simu sana kuulizia abt hizo Zawadi akawa anapoga chenga tu mara ooo now tupo kwa Fiesta ikiisha watakupigia....Mara tunakusanya washindi wote then wote mtapigiwa kwa Pamoja mje chukua Zawadi.... Ujue wana wadhalilisha Hayo makampuni wanaosema ndio yanatoa Zawadi??
 
Mh mwenzetu una details za ndani sana kuhusu clouds (hayo mambo ya zawadi and etc)...unafanya kazi pale nini?

Mimi nafanya Research ya Clouds ndio maana na details zao nyingi! kuna kitu natakafanya ambacho kitakuwa kama wao ila mimi nitaboresha zaidi, Sitakuwa na Longolongo kama wao...Nataka Fungua Enterteiment Redio kama yao so am studying them. Ujue kama KUSAGA angekuwa na right team Clouds ingekuwa More than that! sasa sababu hana watu wanaomfaa ndio maana anakuwa anapiga kwata hapo hapo tu.
 
wala li-redio lao sisikilizi tena tangu ile siku !

Umeikomesha sana maana wametunukiwa hadhi ya super brand radio station( ikiwa ni ya kwanza na pekee Tanzania katika radio), pia imekuwa ni miongoni mwa top 100 mid sized companies imeshika nafasi ya 17. Kwa hiyo acha kuisikiliza wazidi kupaa...HATER
 
Sidhani kama SHAPU anaichukia kiasi hicho Clouds.... Anatakiwa patiwa Ushauri tu, Jamaa kweli wanafanya vizuri, But Kama Kusaga angekuwa na right team Angekuwa ktk top 10 ya hiyo Mid sized Companies! Ndio maana mimi nimeweka hii post yangu ili wajirekebishe na waweze kuwa ndani ya top 10 next time maana vitu vidogo vidogo kama hivi vitawashushia hadhi yao.
 
Ndio maana mimi nimeweka hii post yangu ili wajirekebishe na waweze kuwa ndani ya top 10 next time .

Kwa nini usiweke, post ya East Africa FM, Magic FM, Kiss FM, Times FM, Radio One, Capital FM, Passion FM, Classic FM, na radio utitiri zilizojaa hapa bongo hadi ukaichagua super brand radio station, the people station clouds FM.
 
Umeikomesha sana maana wametunukiwa hadhi ya super brand radio station( ikiwa ni ya kwanza na pekee Tanzania katika radio), pia imekuwa ni miongoni mwa top 100 mid sized companies imeshika nafasi ya 17. Kwa hiyo acha kuisikiliza wazidi kupaa...HATER

maneno yako yanafanana na avatar yako!
 
Umejitahidi kutoa ya moyoni ingawa hamna ukweli wowote. Clouds fm ni chombo huru na sioni kosa la Ruge kutumia kueleza msimamo wake. Kama una malalamiko mengine ungepeleka mahakamani. Unaonekana dhahiri kwamba ulinyimwa ajira pale sasa unajaribu kutoa machungu yako. Umefanya vizuri sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom