KUSAGA vipi Radio yetu?

Status
Not open for further replies.
Huyu ndie Ruge bana

jk,+ruge.jpg
 
Radio au Chombo habari huru kinapo jiingiza kwenye mambo ya siasa madhara yake ni makubwa kuliko mnavyo fikiria.
Angalieni Rwanda na Burundi kilicho tokea pale

Nafikiri, Maxence Mello wa Jamii Forums, Freeman Mbowe wa Free Media( Tanzania Daima) na Saed Kubenea wa Mwanahalisi watauzingatia huu ushauri wako mzuri.
 
Umejitahidi kutoa ya moyoni ingawa hamna ukweli wowote. Clouds fm ni chombo huru na sioni kosa la Ruge kutumia kueleza msimamo wake. Kama una malalamiko mengine ungepeleka mahakamani. Unaonekana dhahiri kwamba ulinyimwa ajira pale sasa unajaribu kutoa machungu yako. Umefanya vizuri sana.

poti lakini pamoja na hayo malizeni tofauti zenu sio kila siku ugomvi na Sugu tuuuu...hii nchi ina matatizo mengi sana na wala mda wa kuwekeana bifu haupo wakati hatuna hata umeme...hayo mambo ya kusema mti wenye matunda sio sawa na wala hayana mashiko,,,mwishowe mtakuja kufika mbali zaidi
 
leo nimewasikia wakipiaga moja ya music wa antvirus wa Sugu,..... halafu wanaanza kumpaka et mh Mbuge anatukana matusi!!!! limewalowa hilo mpaka kieleweke yaaani kawaweka uchi pwaaaaaaa mpaka mnakosa vya kuongea halafu mnaitumia hiyo redio kumpaka nyoooooo mtakoma kaamua kuwaweka hadharani maana hata mie mwanzoni nilikuwa sijui nini kinaendelea kumbe ndo hayo mnayofanya mpaka kwa THT... kumbe mnayenu hamfai kabisa!!!!!
 
Nafikiri, Maxence Mello wa Jamii Forums, Freeman Mbowe wa Free Media( Tanzania Daima) na Saed Kubenea wa Mwanahalisi watauzingatia huu ushauri wako mzuri.
  • Maxence sio mwanasiasa na nadra kumuona akitoa thread za kisiasa hapa
  • Freeman ni mwanasiasa lakini sikumbuki kutumia Tanzania Daima kibinafsi kama Ruge
  • Saeed Kubenea si mwanasiasa ila ni mwanaharakati
 
Fidel80 mimi ni clouds tu! hizo zingine siwezi sikiliza, Tunajenga ndugu yangu hatu bomoi eti...!! hoja zangu zipo hapo zinahitaji majibu! MWITA25 nasikia ndio Ruge him self, kama ni kweli basi atusaidie kufikisha maneno yetu asiwe na JAZIBA.... Mbona at begining alikuwa kimya tu na wala hatukusema kitu, Now tunaona anapotea ndio twamrekebisha, Ile ni Redio ya Watu sio ya MTU(RUGE), Inamaana na Kusaga siku akiwa amepigwa madogo huko aje aanze piga kelele siku nzima pale?? please....!!!

Si ndo hapo mkuu huyo ndo kiongozi pale kwenye radio ya watu. Na kiongozi mzuri hatakiwi kuwa na jazba au hasira inatakiwa siku zote ajishushe.
 
Umeikomesha sana maana wametunukiwa hadhi ya super brand radio station( ikiwa ni ya kwanza na pekee Tanzania katika radio), pia imekuwa ni miongoni mwa top 100 mid sized companies imeshika nafasi ya 17. Kwa hiyo acha kuisikiliza wazidi kupaa...HATER
huyu ni yule mtangazaji wa clouds anayebana sauti hadi kupitiliza..anaitwa..sijui mchovu...no,no,i got it..MCHOMVU,.i know this guy na wala sio B12 kama mnavyodhani..
 
  • Maxence sio mwanasiasa na nadra kumuona akitoa thread za kisiasa hapa
  • Freeman ni mwanasiasa lakini sikumbuki kutumia Tanzania Daima kibinafsi kama Ruge
  • Saeed Kubenea si mwanasiasa ila ni mwanaharakati

Umeelewa ushauri wa Fidel80 lakini au umehamishia akili yako kwenye ile fuse ya Masaburi? Fidel80 alisema ni hatari kwa vyombo vya habari kujihusisha na kisiasa, kwa kuwa wote tunajua kuwa niliowataja wanamiliki vyombo vya habari lakini pia ni members hapa JF ndio maana nikasema ushauri huo utawafaa zaidi.
 
hatimaye nimesika album ya ANTiVIRUS....NANUKUHU MOJA YA MISTARI."CLOOOOODSSSS FM redio ya wafuuuuuuuuuu uuhhhuhhhhuhhhh...K@#$uma^%&$mama zao..."NIMECHEKA SANAAAAAAA...ILA ANYWAY... NDIO KAZI YA SANAAA HIYO...WAMEFIKISHA UJUMBE NI WAJIBU WA WALENGWA KUJIREKEBISHA NA SIO KUJIBIZANA KUPITIA REDIO...MIAKA 100 IJAYO BADO WATU WATAJIULIZA HUYO RUGE NI NANI NA KWANINI ALITUKANWA HIVYO...HATA WATOTO WA RUGE NA VIJUKUU WATAISIKIA ANTIVIRUS..SASA NI BUSARA KUMALIZA TOFAUTI HIZO NA MAPUNGUFU YENU CLOUDS KABLA HAOOO WASANII HAWAJA-RELEASE ANTIVIRUS VOL-II.... NAHISI ITAKUWA KAMA BIG NA PAC
 
Nafikiri, Maxence Mello wa Jamii Forums, Freeman Mbowe wa Free Media( Tanzania Daima) na Saed Kubenea wa Mwanahalisi watauzingatia huu ushauri wako mzuri.

Mbona unaitoa Radio yenu?
Mlishiriki kikamilifu kwenye kampeni 2010 kwa kukipigia kampeni ya nguvu chama cha magamba.
Matunda tunayaona leo mmepewa studio na Rais kama chombo huru cha habari huku mkiiacha BASATA ikipiga miayo.
 
huyu ni yule mtangazaji wa clouds anayebana sauti hadi kupitiliza..anaitwa..sijui mchovu...no,no,i got it..MCHOMVU,.i know this guy na wala sio B12 kama mnavyodhani..
So Huyo NDUKA ni Mchomvu?? At least I have got their attention......!!! Ruge a.k.a MWITA25 fanya Press Conf. utoe dukuduku lako na Ujibu Hoja za SUGU.
 
Umeelewa ushauri wa Fidel80 lakini au umehamishia akili yako kwenye ile fuse ya Masaburi? Fidel80 alisema ni hatari kwa vyombo vya habari kujihusisha na kisiasa, kwa kuwa wote tunajua kuwa niliowataja wanamiliki vyombo vya habari lakini pia ni members hapa JF ndio maana nikasema ushauri huo utawafaa zaidi.

Hakika unahitaji ushauri nasaha......usijaribu kuongozwa na hasira bali akili na busara zako....vinginevyo heshima yako itapotea.....yaani utoe hoja tusichangie, tukichangia shurti utukane? Sasa umuhimu wa forum ni kukubali hoja yako pasi na shaka?
 
Hawa jamaa wamejiharibia sana kujiingiza kwenye mambo ya sihasa
Lakini ndo njia yao ya kujipatia ridhiki
 
Mbona unaitoa Radio yenu?
Mlishiriki kikamilifu kwenye kampeni 2010 kwa kukipigia kampeni ya nguvu chama cha magamba.
Matunda tunayaona leo mmepewa studio na Rais kama chombo huru cha habari huku mkiiacha BASATA ikipiga miayo.

Khe? tayari umeamua kunipa hii kesi? any way, kama ni zawadi kwa kampeni haina noma sana mbona nasikia na CDM wametoa mamilioni kununua mitumba ya Fuso kwa Mbowe kama zawadi za kampeni?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom