mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,195 Reaction score 49,144 Dec 9, 2019 #21 Brenda inachakata mpk magovi ya mbuzi wacha hio nazi tu.
Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,823 Reaction score 40,627 Dec 9, 2019 #22 Uzi mzuri maana kuna muda unatamani msosi wa nazi ila kukuna ndio mziki.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,175 Reaction score 111,114 Dec 10, 2019 #23 Around sh 200,000 hadi sh250,000 za kitanzania Capslock said: shilingi ngapi hizo heavy duty? Click to expand...
Around sh 200,000 hadi sh250,000 za kitanzania Capslock said: shilingi ngapi hizo heavy duty? Click to expand...
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,828 Reaction score 12,320 Feb 14, 2020 #24 farkhina said: Mimi nakuna kwanza alafu nasaga pamoja na maji ya uvuguvugu kidogo kidogo kupata tui zuri. Ila ukisaga bila ya kukuna utapoteza tu nazi mana hata kutapata tui zuri labda kama unataka kutengeneza chatne. Click to expand... Wazungu wanakuna na nini? au na hizi kama za kwetu za kienyeji?
farkhina said: Mimi nakuna kwanza alafu nasaga pamoja na maji ya uvuguvugu kidogo kidogo kupata tui zuri. Ila ukisaga bila ya kukuna utapoteza tu nazi mana hata kutapata tui zuri labda kama unataka kutengeneza chatne. Click to expand... Wazungu wanakuna na nini? au na hizi kama za kwetu za kienyeji?
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Feb 14, 2020 #25 KakaJambazi said: Wazungu wanakuna na nini? au na hizi kama za kwetu za kienyeji? Click to expand... Zinakua grated tayari wanauza kwenye paketi.
KakaJambazi said: Wazungu wanakuna na nini? au na hizi kama za kwetu za kienyeji? Click to expand... Zinakua grated tayari wanauza kwenye paketi.
denis fourplux JF-Expert Member Joined Aug 17, 2017 Posts 1,049 Reaction score 1,396 Feb 14, 2020 #26 Watu8 said: Inawezekana... Kuna aina tofauti za blender pamoja na visu vyake... Nakushauri vizuri ununue zile heavy duty, ukipata brands za UK au US ni nzuri zaidi mfano kama Ninja n.k Click to expand... Bei ya ninja na vitamix unazijua mkuu? Usimdanganye izo brand wewe mwambie anunue heavy dutybasi Sent from my iPhone using JamiiForums
Watu8 said: Inawezekana... Kuna aina tofauti za blender pamoja na visu vyake... Nakushauri vizuri ununue zile heavy duty, ukipata brands za UK au US ni nzuri zaidi mfano kama Ninja n.k Click to expand... Bei ya ninja na vitamix unazijua mkuu? Usimdanganye izo brand wewe mwambie anunue heavy dutybasi Sent from my iPhone using JamiiForums
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,175 Reaction score 111,114 Feb 15, 2020 #27 denis fourplux said: Bei ya ninja na vitamix unazijua mkuu? Usimdanganye izo brand wewe mwambie anunue heavy dutybasi Sent from my iPhone using JamiiForums Click to expand... Wapo wabongo huziuza kama second hand kwa bei nzuri tu...
denis fourplux said: Bei ya ninja na vitamix unazijua mkuu? Usimdanganye izo brand wewe mwambie anunue heavy dutybasi Sent from my iPhone using JamiiForums Click to expand... Wapo wabongo huziuza kama second hand kwa bei nzuri tu...
denis fourplux JF-Expert Member Joined Aug 17, 2017 Posts 1,049 Reaction score 1,396 Feb 15, 2020 #28 Watu8 said: Wapo wabongo huziuza kama second hand kwa bei nzuri tu... Click to expand... Wapi apo mzee maana mimi nlitafuta sana nkakosa Vitamix bei ya chini wanauza mpk 700k ile sound proof kuna jamaa anadeal na Juice dodoma alinunua 1.6M Sent from my iPhone using JamiiForums
Watu8 said: Wapo wabongo huziuza kama second hand kwa bei nzuri tu... Click to expand... Wapi apo mzee maana mimi nlitafuta sana nkakosa Vitamix bei ya chini wanauza mpk 700k ile sound proof kuna jamaa anadeal na Juice dodoma alinunua 1.6M Sent from my iPhone using JamiiForums