Kusafisha tumbo msaada

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Jamani nasikia kuna njia za kusafisha tumbo . Yaani binadamu anatakiwa kusafisha tumbo kwa kutoa sumu mwilini , uchafu n.k
kama kuna mtu ana idea juu ya hilo naomba kujuzwa
 
pia kuna hawa watu wanaitwa tiansh wako na dawa asilia za kuondoa sumu mwilini/tumboni
 
pia kuna hawa watu wanaitwa tiansh wako na dawa asilia za kuondoa sumu mwilini/tumboni

Utaibiwa tu dada'angu fb! Sijaona jinsi yeyote ambayo imeelezewa kisayansi (na si kibiashara) kuwa jinsi ya kutoa sumu mwilini zaidi ya mwili wenyewe kuwa na mifumo mbali mbali mwilini ya kutoa sumu. Njia nzuri na bora ni kujizuia kuingia hicho unachodhani ni sumu mwilini mwako..
 
Kula mboga na matunda kwa wingi sana, zaidi ya hapo pata mlonge ukiwa kama majani, mbegu au mizizi, hiyo ni balaa kwa kusafisha si tumbo bali mwili mzima.
 
utaibiwa tu dada'angu fb! Sijaona jinsi yeyote ambayo imeelezewa kisayansi (na si kibiashara) kuwa jinsi ya kutoa sumu mwilini zaidi ya mwili wenyewe kuwa na mifumo mbali mbali mwilini ya kutoa sumu. Njia nzuri na bora ni kujizuia kuingia hicho unachodhani ni sumu mwilini mwako..
kumbe eeeh!
 
Utaibiwa tu dada'angu fb! Sijaona jinsi yeyote ambayo imeelezewa kisayansi (na si kibiashara) kuwa jinsi ya kutoa sumu mwilini zaidi ya mwili wenyewe kuwa na mifumo mbali mbali mwilini ya kutoa sumu. Njia nzuri na bora ni kujizuia kuingia hicho unachodhani ni sumu mwilini mwako..

bora umwambie, siku hizi imekua biashara kusafisha tumbo, mara tianshi, mara forever, kidogo gnld! Khaa kama tumbo chafu kula mbegu za mlonge angalau utapata na nutrients!
 
kunywa sumu ya nyoka eti ni dawa niliona TViini! Caution usiwe na ulcers usije kujirestisha mapema!
 
na je ukishakunywa sijui dawa zooote hizo, utajuaje kama limeshakuwa safi??
 
Hello Wana JF, Jibu ni moja tu. Aloe Vera Gel
Ni bidhaa bora za asili zinatengenezwa kwa ubora na Forever Living products.

Unakaribishwa kununua na pia waweza kupata fursa za biashara. Waweza kuwa msambazaji.

Pia inaondoa alegi, na inaongeza kinga mwilini.

Kuna bidhaa nyingine pia za kuondoa alegi kwa watoto, pia kuna za kuongeza hamu ya kula.

Kuna ya kupunguza unene na kitambi.


OFFICIAL DISTRIBUTOR TANZANIA, CONTACTS
 
Mbona kuna dawa nyingi sana za kusafisha tumbo vyakula,mboga na matunda na viungo vingi sana vya asili vinasafisha tumbo.

1 ya dawa ya kuondoa sumu mwilin na kusafisha tumbo ni KUFUNGA,

kunahiyo hapo juu aliyo kwambia mdau 1 juice ya ukwaju nayo ni noma hiyo ukinywa ndan ya saa 1 unaweza anza pata result.

Chukua maziwa fresh ya moto pamoja na punje za vitunguu swaum.Tafuna hizo punje huku ukishushia na maziwa.

Nyingine ambayo ni balaa ni mlonge huo na amin ni funga kazi piga doz yake kutwa mara 3 uzuri wa mronge hata kama unakitambi na unene usio eleweka unaweza ukastukia unakonda na kupungua uzito kwa gafla mpaka ukashangaa.

ANGALIZO: usistuke wala kutafuta dawa mbadala pindi utakapo kuwa unaharisha kwani dawa zote hapo juu ukizitumia lzm uharishe.zipo na zingine nyingi xana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom