Hello Wana JF, Jibu ni moja tu. Aloe Vera Gel
Ni bidhaa bora za asili zinatengenezwa kwa ubora na Forever Living products.
Unakaribishwa kununua na pia waweza kupata fursa za biashara. Waweza kuwa msambazaji.
Pia inaondoa alegi, na inaongeza kinga mwilini.
Kuna bidhaa nyingine pia za kuondoa alegi kwa watoto, pia kuna za kuongeza hamu ya kula.
Kuna ya kupunguza unene na kitambi.
OFFICIAL DISTRIBUTOR TANZANIA, CONTACTS
Kula mboga na matunda kwa wingi sana, zaidi ya hapo pata mlonge ukiwa kama majani, mbegu au mizizi, hiyo ni balaa kwa kusafisha si tumbo bali mwili mzima.
binti anataka kufanyia tumbo scrub... aisee kesho sijui itakuaje na tunapoelekea ndio balaaDah! usharobaro mpaka ndani ya tumbo? khaaa!
Jamani nasikia kuna njia za kusafisha tumbo . Yaani binadamu anatakiwa kusafisha tumbo kwa kutoa sumu mwilini , uchafu n.k
kama kuna mtu ana idea juu ya hilo naomba kujuzwa

Sasa si unatengeneza bom tumboni? colleague watakupanga jina...I know someone who can assist with fresh foods.
He mixes fresh fruits, vegs, and some spices, blends them to liquid form, no water added.
Unakunywa 3 times a day. Ila mchanganyiko unakuwa na onions, ginger, garlic, limao, apples, apricots,
etc. Vitunguu vinaleta ugumu wa kuinywa ila ukiwa na nia unakunywa. Kisha pia ana unga wa uji, ugali, atapenda uache
kula nyama, samaki etc. Atakushauri ule vegs, legumes, fruits.
All these helps to cleanse the body, si tumbo peke yake. Ila yuko expensive the liquid mixture has it's price, unga wa uji, ugali etc pia bei yake tofauti haviendi na the liquid drink. Are you interested?
I know someone who can assist with fresh foods.

Mwili wa binadamu una mifumo yote ya kutolea sumu kama figo maini n.k. Kwa hiyo hauhitaji external artificial assistance. Unaweza kukwangua utumbo ukasababisha vidonda.