LIGEDENGE 1
Senior Member
- Nov 15, 2013
- 184
- 29
wapi naweza safisha picha kwa tsh.200/= kila moja kwa hapa dar..?
wapi naweza safisha picha kwa tsh.200/= kila moja kwa hapa dar..?
unavyosema HAPA DAR unataka kumaanisha wote tupo Dar au!!!???.
ulipaswa kusema kwa Dar...sio hapa Dar
nenda kariakoo mtaa wa uhuru ndipo wapo wasafishaji mkuu..
poa. ila nimepita baadhi sehemu wanaanzia tshs.250/ nataka wanaposafisha kwa tsh.200
kwani na ww ni mchaga au mpare??