mrembowangu
Member
- Nov 20, 2013
- 25
- 8
Inategemea unaenda wapi,
kanda ya kusini juu "makete +" mahitaji kafara ndugu wa karibu.
Visiwani,
ubani mauti.
Tanga,
maji ya maiti
msamvu la chole "uzaramuni"
shuka jeupe, jogoo, mchele.
Ukifanikiwa nami nistue nataka kugombea udiwani.
Umenichekesha,Tanga maji ya maiti kwa mganga gani mzee Kambambovu chuda?Inategemea unaenda wapi,
kanda ya kusini juu "makete +" mahitaji kafara ndugu wa karibu.
Visiwani,
ubani mauti.
Tanga,
maji ya maiti
msamvu la chole "
shuka jeupe, jogoo, mchele.
Ukifanikiwa nami nistue nataka kugombea udiwani.
Inategemea unaenda wapi,
kanda ya kusini juu "makete +" mahitaji kafara ndugu wa karibu.
Visiwani,
ubani mauti.
Tanga,
maji ya maiti
msamvu la chole "uzaramuni"
shuka jeupe, jogoo, mchele.
Ukifanikiwa nami nistue nataka kugombea udiwani.
Teh Kule Mombasa ukitaka kusafisha nyota, lazima uwape njia yao wapite
udiwani tu? Hutaki cheo kikubwa zaidi?
Samahanini sana na sina uhakika kama hii topic inastahil kuwa jukwaa hili ila nimeweka huku sababu wataalam weng wa mambo most of time wapo available sana jukwaa hili
Back to topic, Hivi hii dhana ya kusema kwenda kusafisha nyota yako ili ufanikiwe katika mambo yako kama Kifedha, kikazi au hata kimapenzi inakuwaje? Na jee huko kwa mtaalamu anayekusafishia hyo nyota hamna mambo ya kafara yanaweza kufanyika?
Ni kitu kinaniumiza sana kichwa sababu anayehitaji kusafishiwa ni mtu wa karibu sana na nahofu kama kuna kafara mmoja wa familia akadhurika na kafara hiyo.
Please nisaidieni kwa mnaotambua juu ya hiyo kitu.
"Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana." Yeremia 17:5
NB:
Hakuna linaloshindikana kwa Mungu, mtegemee Yeye tu na sio mwanadamu.
Pia waweza pata majini. Sikushauri uende huko.