Kusafisha maji

Kusafisha maji

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
5,608
Reaction score
7,167
Wadau sina uwezo wa kununua maji ya kunywa ya chupa kwa ajili ya familia,maana tupo wengi,hivyo huyachemsha na kuweka kwenye water dispenser,lakini huwa yana uchafu,je nitumie njia ipi ya kuyadafisha?kuna dawa ambayo nikiweka itayasafisha maji na yawe salama kwa kunywa?
 
Njia ya asili tumia mbegu za mlonge pia ...pondaponda au saga tia kwenye maji , uchafu vumbi tope linaendaa kukaa chini , chuja chemsha
Inasaidia kuua vijidudu pia kwenye maji
 
Mkuu ulifanikiwa. Ni shingapi maana pharmacy kazaa hapa Dodoma hawauzi
Jaribu kutafuta kwenye pharmacy kubwa bei sio kali kuanzia 1000 kama Una mtu dar akununilie Kwa maduka ya jumla
 
Back
Top Bottom