Kusafirisha Wasomali

Kusafirisha Wasomali

Kuna nchi kadhaa ambazo Zina visa restrictions kuingia Tanzania.

Mojawapo Somalia au Muethiopia
Hivyo Msomali/Ethiopia akitaka kuingia bongo lazima iwe kwa shughuli za kiserikari, kibalozi au Michezo.

Nje ya hapo ni hapana
Wanatakiwa wawe na special visa inaitwa Reffered Visa ndio atakuwa huru na bongo.

Ndio wengi wakija na makaratasi Yao hawawezi kuingia hivyo jinsi pekee ni kupita kwa magendo na kutumia njiia za Panya .
 
Back
Top Bottom