Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Hello guys...
Nataka kutuma Jiko la kupikia (55cm × 50cm) kutokea Dar kwenda Kahama ila sijui wapi naweza pata huduma ya usafiri.
Nimejaribu kucheki na Dar Lux ila wao wamesema haiwezekani sababu lina mlango wa kioo (wanaogopa usije ukapasuka). So yeahhh....naomba mnisaidie option nyingine kwa wanaofahamu.
Kama nikipata mawasiliano/gharama ntashukuru zaidi.