Kusafirisha mizigo kutoko China kuja Bongo

Mzigo wako boss ulikuwa wa aina gani? Na ulikuwa muda gani?
Zilikuwa bidhaa za urembo .sasa alikuwepo huyo mama ukimpigia simu hatoi ushirikiano wa kutosha, WhatsApp hajibu maswali labda unamuuliza supplier wangu kasha deliver mzigo wangu ofisi zenu za china naomba nichekie kama umefika hajibu, labda nina mzigo kutoka kwa supplier mmoja ni kg 3 na supplier mwingine ni kg 4 je hiyo mzigo inaweza kuunganisha kwenye malipo au kila mmoja nitalipia kivyake kwasababu kwenye page yenu mmeandika minmum ni 5 kg kama mzigo wako haujafika 5kg utahesabika kama 5 kg . At least mlivyoweka tracking number kwenye website yenu ndo ilinipa matumaini maana kusubiri mzigo miezi 2 na huna wa kumuuliza sio mchezo ni heri kutumia meli
 
Pole sana kaka kwa changamoto huwa zinatokea maofisi, pole sana, ila next time nadhani haita jitokeza hiyo shida, pole sana na samahani kwa usumbufu ambao pia umeupata, karibu tena kiongozi
 
Kwa mawasiliano zaidi 0655134448
IMG-20221206-WA0038.jpg
 
Back
Top Bottom