loh kusachi?
Nitaanza leo....
Madame B, nilishajiapiza kutofanya search kabisaaaaaaaaaa! kwanza hata cjui ku-unlock cm yake, huwa ananishangaa, ikiita natuma binti zake wamfikishie haraka cm yake, ctaki matatizo mie jamani. na hii imenisaidia sana, niliyonayo yatosha khaaaaaaaa!Mpendwa cacino,
Me nahs ntakuwa nimezidi.
Maana napiga sachi kuanzia kwenye Boxer yake(kama amevaa ile yenye ka-mfuko),soksi,viatu,suruali mpaka katikati ya Laptop.
Maana mijanaume ya karne hii imezidi ujanja.
tena cku nikikutana na wewe nitakusachi mpaka chawa kwenye kipilipili chako, in both areas!we hunao? Acha fix
Madame B, nilishajiapiza kutofanya search kabisaaaaaaaaaa! kwanza hata cjui ku-unlock cm yake, huwa ananishangaa, ikiita natuma binti zake wamfikishie haraka cm yake, ctaki matatizo mie jamani. na hii imenisaidia sana, niliyonayo yatosha khaaaaaaaa!
mi siwezi kuwapinga! ujue kila banda na utaratibu wake! mara umemsachi unakutana na picha ya mama yako mzazi na yeye wapo kama walivyo, si mtu waeza kufa wallah! hebu jamani endeleeni tu kusachi, khaaaaaaaaaa!cacico unashangaa? ndo vijimambo majumbani hivi.....
mi siwezi kuwapinga! ujue kila banda na utaratibu wake! mara umemsachi unakutana na picha ya mama yako mzazi na yeye wapo kama walivyo, si mtu waeza kufa wallah! hebu jamani endeleeni tu kusachi, khaaaaaaaaaa!
Mmmmmmh huu uongo sasa hayo maandiko yameandikwa wapi?
Halafu wanawake hawahangaiki wenyewe wanahangaikiwa................
hivi wanawake wenzangu mnafanya kweli haya?? mmhh watu wana muda aisee!
loh kusachi?
Nitaanza leo....
Madame B, nilishajiapiza kutofanya search kabisaaaaaaaaaa! kwanza hata cjui ku-unlock cm yake, huwa ananishangaa, ikiita natuma binti zake wamfikishie haraka cm yake, ctaki matatizo mie jamani. na hii imenisaidia sana, niliyonayo yatosha khaaaaaaaa!
Madame B, nilishajiapiza kutofanya search kabisaaaaaaaaaa! kwanza hata cjui ku-unlock cm yake, huwa ananishangaa, ikiita natuma binti zake wamfikishie haraka cm yake, ctaki matatizo mie jamani. na hii imenisaidia sana, niliyonayo yatosha khaaaaaaaa!
ni mwandishi gani na mlango gani na mstari gani kwenye bible nikasome?
Tunawasachi kwa sababu sasa hivi mnataka usawa ati!!
Hapo kwa red, eti anakusachije Madame B? Njoo nisimulie kwa PM, hapa watoto wengi........Fungua Waamuzi.
Mstari nimesahau.
Sasa kama tunataka usawa ndio mtupige sachi?
Halafu mwingine anakwenda Mbali zaidi,anakusachi eti kama umetoka kulala na mwanaume.
Nyiee...!!!
Wabaya sana.
Yaani mwalimu wangu Madame B ndo ivo uko?Mpendwa cacino,
Me nahs ntakuwa nimezidi.
Maana napiga sachi kuanzia kwenye Boxer yake(kama amevaa ile yenye ka-mfuko),soksi,viatu,suruali mpaka katikati ya Laptop.
Maana mijanaume ya karne hii imezidi ujanja.
Mpunga si utakusumbua kukoboa? Nakuwa na mchele kabisa.Kwa mashart maalum lakini.
Nikishakuelezea kwa PM, then tunakuja ktk matendo.
Ila nilazima uwe na mpunga mfukoni.
umeona eeee?? na kumpuuzia! nimekumiss mamito, upo??Dizaini hyo nshawah ishi nae,
dawa yake ni kumfanyia mema mpaka nafsi yake imsute.