Kuruka kwa ungo ni kweli au hadithi za mtaani?

Hili nimewahi kulisikia. Labda niwasiliane na cilivil aviation authority ya Swaziland sijui kama wanaweza kunipa ushahidi usio na mashaka. Na kama ni kweli serikali yao inayatumiaje maarifa haya?
swaziland inatawaliwa kichawi .mfalme mswati kila mwaka hukaa ndani na wachawi miezi mitatu nyumbani kwa mama yake ambaye ndi kiongozi wa waganga na wachawi wa swaziland

swaziland inatawaliwa na branch mbili ya waganga na wachawi iko chini ya mama yake mswati ya pili iko chini ya waziri mkuu

mfalme mswati ni mtawala wa branch zote mbili
 
Wakuu natumaini hamjambo. Naomba mwenye kujua hili suala la watu wanaoruka kwa ungo ni la kweli au ni hadithi za kufikirika tu? Kuna mtu alishawahi kushudia hili na kuchukua ushahidi wa video hapa kwetu Tanzania. Ni jambo linanitatiza ninaposikia hizi hadithi.

How do they defy gravity with just a simple thing kama ungo au ufagio? Na kama jambo hili ni la kweli why then hatutuumii ujuzi huu labda hata kwenda anga za juu badala yake mataifa makubwa yanaingia gharama kubwa kutengeneza spacecrafts? Kwa yeyote mwenye kujua hili suala nitashukuru kwa mchango wake.
Swali lako ni sawa na kuuliza ivi shetani yupo au hayupo? Childish question.
 
Swaziland bans witches from flying above 150metres on broomsticks
Swaziland has launched a crackdown on high-flying witches after banning them from hovering above 150metres banning them from hovering above 150metres. It has been a long time since witches were burnt at the stake in Europe but the accusation remains a serious one in the landlocked African country. Anyone caught flying their broomstick above the height limit faces arrest and a hefty R500,000 fine, the country’s civil aviation authorities said this week. ‘A witch on a broomstick should not fly above the [150-metre] limit,’ corporate affairs director Sabelo Dlamini told The Star.

The new aviation law was highlighted after a private investigator was caught flying a helicopter equipped with a video camera to gather surveillance information. Witchcraft is taken seriously in Swaziland where many people believe in the power of black magic. Last year a leading Swazi MP called for a hike in tax paid by witch doctors to help ease the cash-strapped country’s financial woes

source
Swaziland bans witches from 150m flying
 
Makao makuu ya wachawi pwani Giningi City Misukule na mambo ya uchawi yako huko Fanya uende mkuu ukweli na utata wa nafsi yakutaka kuamini unayoyaskia utayaona huko kwa macho.
Du! Wanafanya mambo waziwazi na wanajulikana hata na mamlaka ya mji?
 
Swaziland bans witches from flying above 150metres on broomsticks
Swaziland has launched a crackdown on high-flying witches after banning them from hovering above 150metres banning them from hovering above 150metres. It has been a long time since witches were burnt at the stake in Europe but the accusation remains a serious one in the landlocked African country. Anyone caught flying their broomstick above the height limit faces arrest and a hefty R500,000 fine, the country’s civil aviation authorities said this week. ‘A witch on a broomstick should not fly above the [150-metre] limit,’ corporate affairs director Sabelo Dlamini told The Star.

The new aviation law was highlighted after a private investigator was caught flying a helicopter equipped with a video camera to gather surveillance information. Witchcraft is taken seriously in Swaziland where many people believe in the power of black magic. Last year a leading Swazi MP called for a hike in tax paid by witch doctors to help ease the cash-strapped country’s financial woes

source
Swaziland bans witches from 150m flying
Nimekusoma mkuu. Hapa kwetu nasikia kuna sheria inayokataza mambo ya uchawi. Nitaifuatilia
 
swaziland inatawaliwa kichawi .mfalme mswati kila mwaka hukaa ndani na wachawi miezi mitatu nyumbani kwa mama yake ambaye ndi kiongozi wa waganga na wachawi wa swaziland

swaziland inatawaliwa na branch mbili ya waganga na wachawi iko chini ya mama yake mswati ya pili iko chini ya waziri mkuu

mfalme mswati ni mtawala wa branch zote mbili
Ninachojiuliza ni kwa nini hawa wanaoitwa wachawi wasipewe nafasi ya kufanya mabo yao kwa uwazi wakapewa majukumu mazito yanayotutatiza sis wengine. Maana hata Yesu aliitwa mchawi alipokuwa anatoa watu mapepo machafu. Mtu anatumia ungo au ufagio kuruka! What is the science behind this? Si kwamba tunadharau vitu simply because we can not explain them??? Bado kichwa kinaniuma kwa kweli. Kuna wakati taasisi fulani huko nchi za nje walitoa dau la mamilioni ya pesa kwa atakayeweza kuthibitisha under laboratory conditions kwamba mabo kama haya yapo ila haikuwezekana. Labda wangekuja swaziland au huko Pwani Diningi:confused:
 
Swali lako ni sawa na kuuliza ivi shetani yupo au hayupo? Childish question.
Wacha tu nikuache maana tukianza kulumbana kwa ulichoandika nitakuwa naharibu malengo ya huu uzi na tutahamia kwaenye mada tofauti kabisa.
 
Ninachojiuliza ni kwa nini hawa wanaoitwa wachawi wasipewe nafasi ya kufanya mabo yao kwa uwazi wakapewa majukumu mazito yanayotutatiza sis wengine. Maana hata Yesu aliitwa mchawi alipokuwa anatoa watu mapepo machafu. Mtu anatumia ungo au ufagio kuruka! What is the science behind this? Si kwamba tunadharau vitu simply because we can not explain them??? Bado kichwa kinaniuma kwa kweli. Kuna wakati taasisi fulani huko nchi za nje walitoa dau la mamilioni ya pesa kwa atakayeweza kuthibitisha under laboratory conditions kwamba mabo kama haya yapo ila haikuwezekana. Labda wangekuja swaziland au huko Pwani Diningi:confused:
Nadhani moja ya masharti Ni kufanya shughuli hizo wakiwa kwenye stealth mode, ndio maana haitakaa itokee wafanye hadharani
 
Unataka ushahidi gani tena?
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Swaziland wako kibao na huruka Hadi serikali imeweka sheria ya mtu kuruka na ungo kuwa asiruke zaidi ya mita kadhaa toka aridhini wachawi Swaziland wanasimamiwa na mamlaka ya anga ya Swaziland
Hii ni kweli?
 
Kwa nini basi watu hawa wasitumiwe kufanya mambo ya maana? Go to Mars and bring us some mineral samples for example! If they can defy gravity by whatever means where is the power of our mainstream science? Mambo haya huwa yananipa mawzo mengi sana. Tunapoteza miaka na miaka kwenye vyou vikuu kutafiti gravity, sijui dark matter sijui particle collider na hatuna majibu ya kutosha lakini mtu mmoja a.k.a mchawi sijui yuko kijiji gani pale anweza kushinda kanuni za Fizikia tunazozijua. Something must be wrong with us kama kweli watu hawa wapo na wanafanya mambo haya.
Hamna kitu kama hicho mkuu ni stori za kutunga za wapumbavu hamna uchawi wala anaeweza kupaa ni wajinga sana wanaleta sanaa

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo mkuu hawa Waswaziland na mamalaka yao ya usalama wa anga hawajui wanachokifanya kuwazuia hao wanaoitwa wachawi kuruka juu zaidi ya mita 150? Ni fabricated news au??
 
Wakuu natumaini hamjambo. Naomba mwenye kujua hili suala la watu wanaoruka kwa ungo ni la kweli au ni hadithi za kufikirika tu? Kuna mtu alishawahi kushudia hili na kuchukua ushahidi wa video hapa kwetu Tanzania. Ni jambo linanitatiza ninaposikia hizi hadithi.

How do they defy gravity with just a simple thing kama ungo au ufagio? Na kama jambo hili ni la kweli why then hatutuumii ujuzi huu labda hata kwenda anga za juu badala yake mataifa makubwa yanaingia gharama kubwa kutengeneza spacecrafts? Kwa yeyote mwenye kujua hili suala nitashukuru kwa mchango wake.

Nimeweka video page ya tatu
Kailete hapa page ya kwanza
 
Sio sheria za nchi, Sheria zao wachawi
OK. mimi I dont mind in whatever mode they operate as long as hawavunji sheria. Kwa nini tusiwatumie hata kama tunawalipa tuwatume waende hata kwenye sayari nyingine. Mabo mengi tu nayasikia vitu kama astral travel lakini mambo yote haya yamebatizwa jina la uchawi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom