sikumbuki hata hiyo cheki number inafananaje, nilifanya miezi mitatu nikasepaSure mkuu, ila pia kama alikuwa na check number itakuwaje? Maana kama atatumia jina lile lile wakienda katika system ya payroll na mengine itasoma japo itakuwa haiku active. Ila hakika kwa sasa wanabana sana.
Kama hukupata check number basi wewe umepona kabisa, na ukitaka kurudi ni rahisi tu unaanza upya. Check number ni kitambulisho cha mtumishi wa serikali tofauti na kile cha kazini!!! Yaani hiyo ndiyo roho yako kazini maana kila kitu inaenda kwa check number yako.sikumbuki hata hiyo cheki number inafananaje, nilifanya miezi mitatu nikasepa
Kama hukupata check number basi wewe umepona kabisa, na ukitaka kurudi ni rahisi tu unaanza upya. Check number ni kitambulisho cha mtumishi wa serikali tofauti na kile cha kazini!!! Yaani hiyo ndiyo roho yako kazini maana kila kitu inaenda kwa check number yako.
Kwani nitawambia check number yangu halafu wanamtambua vipi mtu wakati majina hufanana.
Mkuu katika check number si namba tu ipo, inakuwa imebeba particulars zako nyingi sana. Ukiweka tu hiyo check number inakuja na sheet yako mkuu!!! Kwa hiyo hata majina yakifanana basi particulars nyingine si rahisi kufanana, labda muwe mapacha.
wanaipata wapi hiyo check number na vipi ukibadilisha jina moja.
Ukibdili jina moja, je vyeti vya shule utabadili? Kama utabadili kwa kutumia deed poll hapo sijui!!! Ila nina wasiwasi watakukamata tu.wanaipata wapi hiyo check number na vipi ukibadilisha jina moja.
Ukibdili jina moja, je vyeti vya shule utabadili? Kama utabadili kwa kutumia deed poll hapo sijui!!! Ila nina wasiwasi watakukamata tu.
Ufanyeje ili kuweka mambo sawa.
Hapo ndiyo nimedata sijui tena labda kama nikimpata mhusika ninaweza kuuliza nikapata taarifa za kutosha. Wamekuwa wajanja sana siku hizi. Pia nataka nipate waraka wa 2010 unaoelezea suala la kuacha kazi na kurudi tena serikalini, theni pale nitaweza kujua zaidi. Kuna mtu namfahamu anaweza kunipa hint.
Jaman pia mimi niliajiliwa baadae nikaomba ruhusa naenda kusoma mambo ya elimu lakini baadae nikabadili si kwenda huko kwenye kitu nilichoombea ruhusa nikaenda kusoma sheria sasa nimeomba kazi sehemu nyingine tofauti. Ila naambiwa suala la mshahara litakuwa kero najiuliza nimepoteza mda wangu naombeni ushauri juu ya hili na kurudi kufundisha siwezi maana mshahara ndo umenisomesha. Niko njia panda sijui nifanyeje msaada wenu wadau!!!!!!Waraka wa 2010 unasema,mfanyakazi akishaajiliwa hawezi ajiliwa tena popote serikalini labda jeshini uko au baadhi ya agency...Utaamishiwa data zako kutika tahasisi moja kwenda nyingine na hazina km ulipata barua ya afisa utumishi wakati unaondoka...bila ya ivyo mkafanye private tu to the rest of ya life
Jaman pia mimi niliajiliwa baadae nikaomba ruhusa naenda kusoma mambo ya elimu lakini baadae nikabadili si kwenda huko kwenye kitu nilichoombea ruhusa nikaenda kusoma sheria sasa nimeomba kazi sehemu nyingine tofauti. Ila naambiwa suala la mshahara litakuwa kero najiuliza nimepoteza mda wangu naombeni ushauri juu ya hili na kurudi kufundisha siwezi maana mshahara ndo umenisomesha. Niko njia panda sijui nifanyeje msaada wenu wadau!!!!!!
Rudi tu kufundisha,hautaajirika tena govt..kama ulikopa ujisomeshe mshahara unasoma vibaya vumilia tu...Ndio matunda yakutofata taratibu.
Bongo hii nisiajiriwe hata kama nilikuwa nimeajiriwa kabla nikaacha? kitu pesa yako unaweka mambo sawa.
Kuajiliwa sio lazima unaeza kuamua kujiajili na maisha yanenda bila shida ila umakini unatikiwa. Yote maisha
Kwahyo ndo kusema system ukibadili jina inaweza ikakupata kwa vyeti?ina maana namba za vyeti zinatumika au
Waraka wa 2010 unasema,mfanyakazi akishaajiliwa hawezi ajiliwa tena popote serikalini labda jeshini uko au baadhi ya agency...Utaamishiwa data zako kutika tahasisi moja kwenda nyingine na hazina km ulipata barua ya afisa utumishi wakati unaondoka...bila ya ivyo mkafanye private tu to the rest of ya life
Sure mkuu, ila pia kama alikuwa na check number itakuwaje? Maana kama atatumia jina lile lile wakienda katika system ya payroll na mengine itasoma japo itakuwa haiku active. Ila hakika kwa sasa wanabana sana.