ulanzi mtamu: Nijibu maswali yafuatayo ndio nikusaidie.
1.Wakati unaondoka
(a)Uliaga? Au kupewa ruhusa na mwajiri wako?..na document ya kuthibisha hilo unayo?
(b) Kama hapo (a) hukufanya hayo;- je uliendelea kulipwa mshahara wako wakati haupo kazini??
2. Unabarua yeyote ya taarifa juu ya kuachishwa kazi na mwajiri wako au kuondolewa kwenye payroll?
Jibu kisha niendelee kukupa mbinu za kupata haki zako.
Koz binafsi niliondoka kazini na nimerudi bila wasiwasi...wao ndio hawakufuata sheria na taratibu. Nilipotea kwa siku zaidi ya 4000.
Toa majibu mkuu.
Ni ngumu kweli kweli ina mchakamchaka wake ni hatari sana nahitaji moyo. Sema labda kwa waalimu kwa kuwa mnahitajika. Kwa fani nyingine yaani ni nyodo kwa kwenda mbele. Jaribu bahati yako.
Hakika utachoka. Nakuambia kuna ndugu yangu alikuwa ameajiriwa na serikali akaacha kazi na akaingia taasisi nyingine ya serikali. Imagine kurudisha ile check number yake wamekataa. Wanataka kibali toka kwa Katibu Mkuu Kiongozi. Wanasema ili urudi ni lazima uwe na rare profession kitu ambacho si rahisi. Wanadai ulipoondoka nafasi yako ilishajazwa. Pole sana. Ila kama inawezekana waambie wwakupe mkataba ila nako ni tabu maana kuna waraka wa serikali wa mwaka 2009 unakataza ajira za mkataba kwa walio chini ya miaka 45.nimeenda mpaka nimechoka na ajira mpya inaonyesha wanakataa, wanadai tayari nimeshaajiriwa.
cha kufanya rudi halmashauri ulipokuwa unafanya kazi onana na afisa utumishi ongea nae mweleze black and white course cku hzi issue ya kumrejesha mtumishi kwenye payrol lina complication fulani kwani ma approver PO-PSM wanasumbua sana tofauti na zamamini but ikishindikana kukurejesha nenda sehemu uliyopata kaz ongea na afira utumisg kuna naona ya kufanya atakusaidia
Siku nyingine ili kuepuka matatizo kama haya muwe mnaaga tu kisheria, msitoroke. Utaratibu ni kuandika barua ya kuacha kazi mwezi mmoja kabla au kama ni 24 hrs unaacha mshahara wako wa mwezi mmoja basi, unatolewa kwenye system zao. Ikiwa baadaye utaajiriwa tena serikalini kunakuwa hakuna tatizo kurudi kwenye payroll.Wadau mimi tangu 2007 nimeajiriwa katika halmashauri ya Biharamulo kama mwalimu.2012 niliamua kuondoka kituoni na nkaenda shule ya private hapa Mwanza,mwaka jana kuna kazi ya ualimu katika mojawapo ya shule za mashirika ya umma ilitangazwa na tume ya ajira nikaomba na nimepata kazi.
Tatizo walipoenda kuniingiza kwenye system ikaonekana nshaajiriwa serikali.Kwahyo natakiwa kurudi Biharamulo na kuomba nirudishwe payroll na nihamishe datasheet.
Je wadau ni njia gani nyepesi nitumie ili nifanikiwe katika hili na ukizingatia niliondka kazin kwa kukimbia mazingira magumu.
duuh kazi kweli kweli, mimi niliacha huko 2006 nipo kwenye mishe mishe zangu binafsi, nina mpango wa kurudi GOVERNMENT 2016 sijui kama watakuwa na kumbukumbu zozote!
2006 uko safe...kuna sheria ilipitishwa 2010 ndio inatutesa.
We Zogwale utakua na matatizo ya akili.Nahisi Utakua umemeza kitu chenye ncha kali....kina kusumbua kukitoa matakoni.
Ushauri wangu: Usitumie nguvu kujibu hoja. Unajua maana ya Shame on??
Nadhani bnyanya hakukosea kukwambia " we utakua na minyoo si bure!!!"
Acha kuharibu threads za watu kwa upuuzi wako na mambo yako ya kitoto.
Vitu vyenyewe unavyochangia kwanza ni pointless. Pumba tu!!!
We utakua na minyoo si bure...Bwahahahahhahaha