Julias Vimvinyira
Senior Member
- Jun 2, 2025
- 155
- 205
Kwa muda sasa Watanzania wameshuhudia wagombea mbalimbali wakichukua na hata kurudisha fomu zao za kugombea urais kupitia vyama vyao.
Lakini jambo la kushangaza ni ukimya mzito ndani ya CCM kuhusu lini Mwenyekiti wao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atarudisha fomu yake.
Kwa nini chama tawala hakitoi ratiba wala taarifa yeyote juu ya tukio hili kubwa linalogusa mustakabali wa taifa?
Au kimya hiki ni mkakati wa makusudi kutengeneza “surprise” kubwa ya kisiasa?
Je, mafukuto ya ndani ndio sababu ya kuchelewesha mchakato huu?
Wakati wagombea wengine wakisonga mbele, urudishwaji wa fomu ya Samia unaendelea kubaki kitendawili.
Wananchi tusubiri hadi lini kupata majibu?
Pia soma >> GE2025 - Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu achukua Fomu ya Urais Oktoba 2025