Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Leo asubuhi kuna mtu aliingia na kutumia password na kuingia katika email yangu akidai pesa kwa kutumia signature yangu. Ameingia hadi katika sent items na kufuta zoote kiasi kwamba siwezi tena kuzipata data zangu muhimu nilizotunza zaidi ya miaka 15 sasa. Je nifanyeje ili niweze kusoma tena folder la sent items? kuna ujanja wowote hapo ama ndio imekula kwangu for good? TIA