Unamsaidiaje mtu alie nchi za watu mbali kabisa na Tanzania ambae hana nauli na uwezo wa kupata pesa hana kwani hana shughuli ya kujipatia kipato?
Je ni njia gani reliable za kupokea hela mfano akichangiwa hapa bila kizuizi kwa nauli inayozidi 1500USD?
Pengine viwanja vya ndege vingekua vinatoa mkopo na ruhusa ya kupanda ndege ingekua nafuu zaidi.
Msaada wakuu.