mackmambo
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 106
- 65
Habari wazee kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu nilianza ufugaji mwaka jana mwezi kama huu nilifuga kuku kwa ya intensive system kuku zaidi ya 150 lakini niliwahudumia vizuri nikiwa huku naendelea na masomo yangu kwenye chuo cha mifugo hivyo mimi nakuwa na hudumia nikiwa likizo mdogo wangu yeye anaudumia nikiwa sipo.
So, kama ugonjwa ukitokea ana niambia namuelekeza dawa na management za ufugaji wa kuku. Changamoto niliokutana nayo ni madalali kwenye kuuza nakumbuka nilipofunga chuo nilirud home ikanibidi nitafute soko nikatafuta soko nikapata sehem ya barabarani kuuzia nikaongea na dalali akaja na kenta kusomba kuku nyumbani tulikubaliana akimaliza mzigo ananipa pesa yangu lakin nilichokuja kuambulia ni pesa ndogo sana maana nilimuachia mzigo kutokana kesho yake naelekea field so nikawa napiga simu huku napewa tarehe mbali mbali na kutumiwa elfu 30 kwa mwezi mara elfu20 daah hapo ndipo mtaji ulipokufa.
So ombi langu ni kama unaingia kwenye ufugaji au kilimo usimuamin mtu anaeitwa dalali hivyo nimejipanga mwaka huu kurudi tena mwezi ujao bado sijakata tamaa ikiwa ndio profesinal yangu ninayo isomea pia napenda kuwatakia week end njema