Kurudi kwa Shisha!

Hebu nielezeni madhara ya shisha. Nafikiria kutest.
Bangi na shisha ipi ina madhara?
 
Nilikua na ielewa sana shisha makonda alivyoikataza niliumia sana.
 
Daaah hii thread ifutwe JamiiForums tafadhari.. unakuta huyu kashindwa kununua mtungi wa 15,000 kashindwa kupata shupi yakuondoka nayo analeta hate hapa.
TULIA DAWA IKUINGIE
 
Nchi inaongozwa na sheria na sio matamko, ndio maana kipindi cha mwendazake waliokuwa wanaona mbali walishauri hayo mambo kuliko kutamkwa majukwaani kuyalinda lazima yatungiwe sheria, kwani ukitoka tu madarakani nayo yanapotea!!!sasa kama hizo shishi Bashite ndio alipiga marufuku , wakati hakuna sheria inayozuia, mahakamani utampeleka kwa kuvunja sheria gani?!!
 
Kama sigara na tumbaku zinaruhusiwa....kwanini shisha hairuhusiwi maana nayo ni tumbaku tuu iliyowekwa flavor! .. Naomba kuelewa zaidi.
 
Nishangaa kuona watoto wa kike wanaongoza kuvuta shisha, tunakoelekea siko, hadi baa za mitaani ni mwendo wa shisha tu.
 
Nilikutana nayo Geneva miaka fulani. Ni kitu hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…