CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,942
- 9,463
Wakuu kwa sasa unaweza pata Kuroiler Breed kwa Oda, Ila kama uko mbali na Arusha means Dar na kwingineko trasnport utaalenji mwenyewe. Kuroiler ni Breed kutoka India ina origine ya India, ni moja kati ya Breed zinazo weza kuishi mazingira magumu huenda kuliko hata kuku wetu wa Kienyeji. Na wanakuwa very fast compare na Breed zingine zote
Hawa wana Four Month, na Mara zote Kuroiler wana langi tofauti tofauti.
Hawa wana Four Month, na Mara zote Kuroiler wana langi tofauti tofauti.