Kuripoti shuleni kwa masomo ya A level ni lini?

Kuripoti shuleni kwa masomo ya A level ni lini?

alda

New Member
Joined
Jun 14, 2017
Posts
4
Reaction score
0
Jamani eti waliochaguliwa lujiunga na advance 2017 wanataliwa kuripoti shuleni lini
 
Kwa kawaida post yako ukishajua ilipokupeleka kinachofuata ni wewe kuchukua joining instruction, hapo ndiyo mtu unajua lini utatakiwa kwenda kuripoti.

Umepata post wapi?
 
Jamani naitaji kujua ratiba ya masomo katika shule ya lugoba
 
Back
Top Bottom