Black Beast
Senior Member
- Aug 6, 2019
- 127
- 486
Hongereni vijana wote mliofanikiwa kufaulu na kupangiwa vituo vya kazi wale ambao bado msichoke kusubiri mambo mazuri yanakuja. Nimepata maswali mengi DM juu ya namna ya kuripoti kituo cha kazi, nini kinahotakika, changamoto, posho zakujikimu, mshahara unatoka lini, check number n.k.
Kwa faida ya wote waliolamba asali na watakaolamba siku za usoni naomba members wenye kujua utaratibu wa kuripoti kazini na stahiki anazopewa mwajiriwa mpya walete nondo hapa chini.
Ahsante
Kwa faida ya wote waliolamba asali na watakaolamba siku za usoni naomba members wenye kujua utaratibu wa kuripoti kazini na stahiki anazopewa mwajiriwa mpya walete nondo hapa chini.
Ahsante