Kuringaringa kunavyowaponza mabinti

Kuringaringa kunavyowaponza mabinti

wewe unaonaje? bana utafikisha 40 single
 
ila mwanangu una tabia mbaya kichizi kuna demu humu JF alishaanza kunitumia sms za kipuuzi sasa akiona huu uzi atajistukia nitakosa demu!!!
 
siyo kama binti anaringa bali anafwata maelekezo ya wazazi wake..........binti anakuwa msikivu kwa wazazi wake.......
 
Umeongea vizur mwanamke lazima ajithamini wala siwalaumu wazazi wangu kunikanya kuhusu wanaume kwani kila kitu kina muda wake,sasa binti anasoma kwanin wazazi wake wasimkanye, muda ukifika watampa uhuru wake.
Ila kwa binti yeyote yule anatakiwa ajiwekee thamani...sio hadi kuringa but anatakiwa asiwe easy pray sema tu kutokana na hali halisi ya maisha inashindikana..sijaingia kwenye ndoa lkn huwa naona ndoa ambazo wanaume wanawaheshimu wake zao zinakuwa stable kidogo na maendeleo..
 
sumbawanga ....my foot......acha kumwaga hasira yako kwa sababu tu umetongoza na umekataliwa/umenyimwa sex. A woman is not an appliance to be used and dumped. Imagine kama wewe ungekuwa mwanamke. Ungekubali kumvulia chupi kila mwanaume anayekuhombeza?

gadem...grow up acha upumbavu. kukataliwa ni kitu cha kawaida. Ukiona you can not handle it, go buy sex to hookers!!.

hahhaha it does not need a degree to know you are in late 40th and single....
 
hahhhaha shaur yako, utapoanza kufunga na kushinda kwa manabii utanikumbuka... fungua moyo acha tuchezeane kwanza

hahahaaaaa tukifungua mioyo yetu mnatupiga majungu eti "sio mchoyo"
 
KURINGARINGA KUNAVYOWAPONZA MABINTI.

Kuringa kwa wasichana wa kibongo ni athari za malezi. Ulaya mtoto wa kike na kiume wanakua pamoja wanahug, wanajuana zaidi but responsibly.. coz wanafundishwa elimu ya afya ya uzazi mapema.

Hapa kwetu binti akiwa na miaka 13 anaambiwa. ‘Usicheze na wavulana ni mashetani wakubwa, na ole wako tukukute na wavulana, utahama hapa nyumbani' Hapa binti anaanza kuwaona wavulana kama viumbe hatari sana.

Akiwa na miaka 20 wazazi wanamuambia ‘Kwa kweli Sisi wazazi wako hatumpendi yule mvulana unaefuatana nae' binti anazidi kujiweka mbali na wanaume.. hapa ndo anaringa balaa.

Akiwa na miaka 25 wazazi wanaanza ‘Vipi mama? Kimya, hujatuletea mwenzio yoyote kututambulisha' hapa ndo binti akifuatwa anadengua kidogo kumbe anataka.

Akiwa na miaka 28 wazazi wanakuja juu 'Wewe vipi wenzio wote wameolewa.. unasubiri nini' hapa ndo kile kibinti kilichokua kinakuringia kinaanza kukutumia vitext vya kipuuzi.. mara mambo, mara nimekumiss umenimisd my foot?

Akiwa na miaka 30 wazazi wanasema 'Tumeshakuonya
acha kuchagua wanaume.. we vipi?' binti anapanick.. anatamani kuolewa lakini alisharingaringa sana.

Akiwa na miaka 33 wazazi wanamuita kwa mazungumzo ‘Kuna mzee mmoja.

Kule Sumbawanga tumesikia anaweza kuondoa nuksi, twende tukupeleke' binti anaanza kuwaza kuvuta mume kwa tunguri wakati wakati aliringa mwenyewe.

Akiwa na miaka 38 wazazi wanamuita tena "Kuna Mchungaji Mabibo wanasema ukifunga wiki tu
unafunguliwa' Binti anafunga na kuomba mara kubadilisha makanisa lakini hafanikiwi.

Akiwa na miaka 40 wazazi wanamuambia "kuna mzee mmoja kafiwa na mkewe anatafuta mke wa kumpunguzia mawazo.. unaonaje tukupe namba zake?

Hata huyo ni sawa tu usichague sana.. tufariji wazee wako tuone japo kajukuu'

NB: GIRLS PLZ BE CARE.. KURINGA RINGA NI HATARI KWA FUTURE YAKO.
 
Hii sijawahi kuiyona lakini inaumiza sana kwa wahusika. mambo kama haya yanatakiwa kuanzishwe jukwaa la counselling ili yapelekwe huko
 
Hao wazungu unaowatolea mfano kijana wa kiume akifikisha miaka13 nae anampeleka bwana wake kumtambulisha kwamba ndiye anayemsafisha eksozi .Iga na wewe si kila jambo wanalofanya wazungu zuri?Mpeleke na wewe nyumbani kumtambulisha.
 
hahahaaaaa tukifungua mioyo yetu mnatupiga majungu eti "sio mchoyo"

mmh bora kuitwa sio mchoyo kuliko kubana muda wote huo... mwishoe kitapotea hicho ukose cha kuringia lol!!!
 
Dah mi wananiringiaga mpaka najutaga aisee,hawa wananwake hawajui na si tunataka faraja dah!
 
Ningekuwa JK ningesema hivi!
Akili ya kuambiwa changanya na yako.
 
Back
Top Bottom