Kureset Tecno Y3+

Di Ty

JF-Expert Member
Jul 11, 2014
580
586
Wakuu habari zenu? Natumai mnaendelea vizuri na shughuli zenu za kila siku.

Kuna shida moja imenikuta hapa, kuna simu aina ya Tecno Y3+ ambayo hii ikiwashwa tu inaishia pale "Experience smart life " halafu inaganda hapo hapo haistart kabisa kufikia kwenye screen kwa ajili ya matumizi kama kupiga, etc.

Naombeni msaada jinsi ya kutatua hiyo shida.

Thanks in advance.
 
Bonyeza kitufe cha kuwashia na cha kuongeza sauti kwa pamoja wakati unawasha baada hapo kwa kutumia volume ya kuongeza na kupunguza sauti shuka sehemu imeandikwa reboot ukifika hapo bonyeza button ya kuwasha cmu cmu ita ji reboot na kuanza upya
 
Haijafanikiwa hii method mkuu... Shida iko pale pale... Inastuck kwenye hiyo 'experience smart life'
 
Back
Top Bottom