Kura za Magufuli

Kura za Magufuli

mwe! ama kweli wiki hii watu wamekesha, muwe mnakesha hivi katika maombi pia
 
Kura zake zinajilinda sababu wana kazi ya ndani na wakimaliza wana kazi ya nje. . . .Wanaona na wanajua. . . .UKAWA wanasubiri just this one moment . . . .
 
Yaachech yamalizane yenyewe huko! Yanakera sana haya majitu yaan hakuna kitu kinaweza kwenda straight kwao!
 
Huu mchakato ndio umedhihirisha ccm huwa wanafanya nini katika uchaguzi mkuu.
 
Kwa utendaji wa Speaker wa kwanza mwanamke, Anna Makinda, CCM watafanya makosa makubwa kulazimisha kupitisha jina la mwanamke.

Utendaji wa hovyo wa speaker utawamaliza. Ukizingatia alivyoboronga zaidi mwishoni!
 
Magufuli kura 1560.

Migiro kura 702.

Amina kura 349.
👽From: Source in the Kitchen.

Officially John Pombe Magufuli is a presidential candidate for CCM.
 
magufuli kura 1560.

Migiro kura 702.

Amina kura 349.
👽from: Source in the kitchen.

Officially john pombe magufuli is a presidential candidate for ccm.

Where did you get these information? Shame on you Xidian . Jf Moderators kuweni makini na hawa watu wanaotoa taarifa kama hizi za uongo na zisizokuwa na ukweli hata chembe , huu ni upotoshaji. Please !!!!!!! komesheni hii tabia.
 
Unajua nilikuwa sijawahi kufuatilia kwa macho yangu michakato yao ya kutafuta wagombea lakini leo ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza.

Hivyo kuona kwa macho kunatoa perspective iliyo tofauti kidogo na kusikia tu redioni ama kusoma magazetini na kwenye mablogu.

I mean, Mark Mwandosya imekuwaje hakufika hata tano bora?

Na kama mchakato mzima ungepigiwa kura za huru na haki tokea mwanzo kwenye yale majina 38 basi Lowassa ndo angekuwa mpeperusha bendera wao.

Lakini hayo majina 33 yalivyokatwa kinyemela inaonyesha ni jinsi gani ambavyo tayari the powers that be walivyokuwa wameamua.
Wewe endelea kulishughulia hilo beef lako bovu mengine tuachie wenye nchi
 
Wewe endelea kulishughulia hilo beef lako bovu mengine tuachie wenye nchi

Kheeee! Kumbe we bweeege upo dunia hii?

Naona tunye tunye lako linafanya kazi murua kabisa ya kukufuga.
 
CCM ni wajinga na wapumbavu wa kutupwa na wamedhihirisha wanazo hizo sifa kwa kuahirisha uhesabuji wa kura.

Nadhani suala zima lilikuwa limepangwa.

Kura zinazopigwa usiku [halafu kura zenyewe chache mno] halafu ambazo matokeo yake yanatangazwa asubuhi, zinakosa integrity.

Hivi kwa mfano usiku huu hizo kura zimesimamiwa na nani?

Usikute sasa hivi tayari washazihesabu na kama mtu wamtakaye hana za kutosha basi ndo muda muafaka wa kufanya ujanja ujanja.
Kwahiyo walotaka kuchakachua
 
Back
Top Bottom