Kura za Magufuli

Kura za Magufuli

Siyo tu inauma bali inastaajabisha pia.

Iweje mtu aliye makini namna hiyo anakatwa kwa njia ambazo hata hazieleweki achilia mbali kujulikana halafu watu kama J. Makamba na Da Amina wanafikia hadi tano bora!

Kuhusu kundi la huo mtandao....naaah....I'm different and I like it that way.

But now I'm all in for Da Amina.

Join 'our team' to ensure she gets the nod.
Nyani ilikuwa kwa ngoyai
 
Ngabu nakushangaa wewe unae washangaa CCM
they have done this katika election zao karibu zoote

Magufuli atawekwa sawa....hivyo hata matokeo atakua anayajua
kwa ufupi wale watatu wote walishawekwa sawa behind the scene
CCM wana kawaida ya kufikia mabaliano halafu wanaenda kuigiza mbele ya TV

kila kitu ni maigizo already
jiulize hiyo top five ilipatikanaje?maigizo....hiyo top three nayo maigizo
na the winner kashapangwa na i am sure usiku huu ana extra security kuliko wenzie
tungekuwa Dom tungeona tu kwa macho yupi alie ongezewa security tukajua ndie winner
Extra security
 
Back
Top Bottom