Kura za Magufuli

Kuna kitu very strange nakiona now
wafuasi wa Lowasa wengi hapa JF wamehamia kwa Magufuli
wakati huko DODOMA wafuasi wake wameelekezwa kumchagua Amina ili yeye EL awe VP...
kazi mnayo
 
CCM ni wajinga na wapumbavu wa kutupwa na wamedhihirisha wanazo hizo sifa kwa kuahirisha uhesabuji wa kura.

Nadhani suala zima lilikuwa limepangwa.

Kura zinazopigwa usiku [halafu kura zenyewe chache mno] halafu ambazo matokeo yake yanatangazwa asubuhi, zinakosa integrity.

Hivi kwa mfano usiku huu hizo kura zimesimamiwa na nani?

Usikute sasa hivi tayari washazihesabu na kama mtu wamtakaye hana za kutosha basi ndo muda muafaka wa kufanya ujanja ujanja.
 
Kuna kitu very strange nakiona now
wafuasi wa Lowasa wengi hapa JF wamehamia kwa Magufuli
wakati huko DODOMA wafuasi wake wameelekezwa kumchagua Amina ili yeye EL awe VP...
kazi mnayo

Kilicho strange ni CCM kuahirisha kikao na kuhesabu kura.

Why did they do that?

Did they do it to give some people the opportunity to do trickery just in case their candidate couldn't get enough votes?
 
Kilicho strange ni CCM kuahirisha kikao na kuhesabu kura.

Why did they do that?

Did they do it to give some people the opportunity to do trickery just in case their candidate couldn't get enough votes?

Ngabu nakushangaa wewe unae washangaa CCM
they have done this katika election zao karibu zoote

Magufuli atawekwa sawa....hivyo hata matokeo atakua anayajua
kwa ufupi wale watatu wote walishawekwa sawa behind the scene
CCM wana kawaida ya kufikia mabaliano halafu wanaenda kuigiza mbele ya TV

kila kitu ni maigizo already
jiulize hiyo top five ilipatikanaje?maigizo....hiyo top three nayo maigizo
na the winner kashapangwa na i am sure usiku huu ana extra security kuliko wenzie
tungekuwa Dom tungeona tu kwa macho yupi alie ongezewa security tukajua ndie winner
 
Unajua nilikuwa sijawahi kufuatilia kwa macho yangu michakato yao ya kutafuta wagombea lakini leo ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza.

Hivyo kuona kwa macho kunatoa perspective iliyo tofauti kidogo na kusikia tu redioni ama kusoma magazetini na kwenye mablogu.

I mean, Mark Mwandosya imekuwaje hakufika hata tano bora?

Na kama mchakato mzima ungepigiwa kura za huru na haki tokea mwanzo kwenye yale majina 38 basi Lowassa ndo angekuwa mpeperusha bendera wao.

Lakini hayo majina 33 yalivyokatwa kinyemela inaonyesha ni jinsi gani ambavyo tayari the powers that be walivyokuwa wameamua.
 
Inauma eh jirani kukatwa!

Umeshajiunga na Whatsapp ya watoto wenzako wa Chuo?

Siyo tu inauma bali inastaajabisha pia.

Iweje mtu aliye makini namna hiyo anakatwa kwa njia ambazo hata hazieleweki achilia mbali kujulikana halafu watu kama J. Makamba na Da Amina wanafikia hadi tano bora!

Kuhusu kundi la huo mtandao....naaah....I'm different and I like it that way.

But now I'm all in for Da Amina.

Join 'our team' to ensure she gets the nod.
 
Kuna kitu very strange nakiona now
wafuasi wa Lowasa wengi hapa JF wamehamia kwa Magufuli
wakati huko DODOMA wafuasi wake wameelekezwa kumchagua Amina ili yeye EL awe VP...
kazi mnayo

Halafu atamtengenezea mazingira ya kumuua then kwa katiba yetu EL atakuwa rais
 
kukatwa lowasa inawakera eee,kwa lipi lowasa asikatwe? kelele zilikuwa nyingi, Mara wanamwogopa,Mara cjui chama kitavunjika.
 
Labda kama wazee wamebadilika. Mshindi wao alitakiwa kuwa Magufuli.

Ila baada ya mkuu kudhalilishwa na kura kiduchu za Membe, sitashangaa upepo ukahamia kwenye jinsi ( gender card)!
 
lowasa jana alikua kaubebesha mdomo. atari yani.. makufuli katu ahidi ata tufanyia kazi . tu mchagueni
 
Manyerere naomba Leo ukiwa na Ivona Hapo Azam Two mzungumzie bao la mkono la nape.......Jibu la maswali lako ni BAO LA MKONO TU HAPO.
 
Kura zenyewe zimepigwa kama watu wanamchagua class monitor vile...
 
Siyo tu inauma bali inastaajabisha pia.

Iweje mtu aliye makini namna hiyo anakatwa kwa njia ambazo hata hazieleweki achilia mbali kujulikana halafu watu kama J. Makamba na Da Amina wanafikia hadi tano bora!

Kuhusu kundi la huo mtandao....naaah....I'm different and I like it that way.

But now I'm all in for Da Amina.

Join 'our team' to ensure she gets the nod.

I won't be surprised. Ila uamuzi wa wazee waliotupa tano bora siyo huo.
 
Back
Top Bottom