Mpangamji
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 540
- 141
Watanzania tumegubikwa na jinamizi la kuwafanyia siasa chafu watu wanaoweza kufanya maamuzi magumu yenye tija na nchi yetu. tumekuwa vipofu wa kuona yale wanayofanya viongozi hawa wenye bidii ya kazi zao binafsi pamoja na za nchi hii isiyokuwa na shukrani.
Lowassa ni mtanzania anayejituma katika kazi zake na hivyo zimempekea kufika hapo alipo (utajiri) lakini pia ni kiongozi shupavu anayeweza kukemea tofauti na yeyote ambaye tunae sasa. Sijawahi kupiga kura tangu nijiandikishe, lakini sasa nimeamua nitapiga kura mwaka huu. kwa CCM nitampigia Mheshimiwa Lowassa ambaye kwa juhudi zake binafsi amewezesha mambo mengi na yenye manufaa makubwa kwa nchi hii ukilinganisha na wengine wanaojinadi "si-mafisadi".
kama hatakuwepo Lowassa basi kura yangu ya urais itakwenda kwa Mheshimiwa Dr. Bunduki (Slaa) ili naye aendelee kulipua mabomu yake. lakini katika utendaji kazi Lowassa na Slaa, Lowassa Zaidi.