Kura yangu itaenda CCM kwa sababu vyama vya upinzani havina nguvu na mvuto period

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,294
Reaction score
3,188
Habari za zenu wana jf

MImi ni kada wa chadema wa miaka mingi sana tokea nipo O level mpaka chuo na tushapewa sana suspension( kusimamisha shule kwa misimamo yangu ya kisiasa)

Kwa haya yanayofanyika nchini ni maigizo tu kwenye siasa hasa vyama vya upinzani ili kuleta demokrasia ya uongo.
Tuongee ukweri kabisa bila kutumia hisia hebu tumia tu akiri vyama vya siasa hasa vya upinzani vimekosa mvuto kwa wananchi ikiwemo chama cha chadema kwa sasa hakina ata nguvu kwenye siasa.

Kama taifa tuna kazi ngumu kulikomboa taifa kwa haina hii ya upinzani.ccm ataendelea kutawala kwa miaka mingi siasa ya nchi hii sababu hapati ile challenge real kwa vyama vya upinzani.
unaona kwa yanayofanyika kenya 45% ni power ya vyama upinzani.

Me sio ccm wala chadema ila ukiweka chadema saizi na andazi nachagua andani

Asanteni sana🙏
 
Wewe sio Kada ongea ukwel
 
Lisu ananyongwa lini?
 
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA MWAKA HUU
OLE WAKE MWLIMU ATAKAYE ENDA KUSIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYESIMAMIA UCHAGUZI
 
Upo jera au, bongo hii hii? Vyama vya upinzani vimekabwa na ccm dola(ccm sio chama, ni, mafia state within a state)
 
Habari za zenu wana jf

MImi ni kada wa chadema wa miaka mingi sana tokea nipo O level mpaka chuo na tushapewa sana suspension( kusimamisha shule kwa misimamo yangu ya kisiasa)

Kwa haya yanayofanyika nchini ni maigizo tu kwenye siasa hasa vyama vya upinzani ili kuleta demokrasia ya uongo.
Tuongee ukweri kabisa bila kutumia hisia hebu tumia tu akiri vyama vya siasa hasa vya upinzani vimekosa mvuto kwa wananchi ikiwemo chama cha chadema kwa sasa hakina ata nguvu kwenye siasa.

Kama taifa tuna kazi ngumu kulikomboa taifa kwa haina hii ya upinzani.ccm ataendelea kutawala kwa miaka mingi siasa ya nchi hii sababu hapati ile challenge real kwa vyama vya upinzani.
unaona kwa yanayofanyika kenya 45% ni power ya vyama upinzani.

Me sio ccm wala chadema ila ukiweka chadema saizi na andazi nachagua andani

Asanteni sana🙏
Wewe na hilo andazi mna akili sawa..!!!
 
We lofa unazungumzia kura gani?...
Nani anataka kura yako aroo?..
Kura zilishapigwa
 
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA MWAKA HUU
OLE WAKE MWLIMU ATAKAYE ENDA KUSIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYESIMAMIA UCHAGUZI
Utafanya nn eb acha utahira
Yaani unatutishia amani na kati tuna uhuru wa kuchagua we kenge nn
Kma nyie mmechagua kususa ni nyie wenyewe.
Mnataka democracy alaf hpo hpo mnalazimisha wote tukatae uchaguz
 
Habari za zenu wana jf

MImi ni kada wa chadema wa miaka mingi sana tokea nipo O level mpaka chuo na tushapewa sana suspension( kusimamisha shule kwa misimamo yangu ya kisiasa)

Kwa haya yanayofanyika nchini ni maigizo tu kwenye siasa hasa vyama vya upinzani ili kuleta demokrasia ya uongo.
Tuongee ukweri kabisa bila kutumia hisia hebu tumia tu akiri vyama vya siasa hasa vya upinzani vimekosa mvuto kwa wananchi ikiwemo chama cha chadema kwa sasa hakina ata nguvu kwenye siasa.

Kama taifa tuna kazi ngumu kulikomboa taifa kwa haina hii ya upinzani.ccm ataendelea kutawala kwa miaka mingi siasa ya nchi hii sababu hapati ile challenge real kwa vyama vya upinzani.
unaona kwa yanayofanyika kenya 45% ni power ya vyama upinzani.

Me sio ccm wala chadema ila ukiweka chadema saizi na andazi nachagua andani

Asanteni sana🙏
Kwakuwa ni moja ya wasimamizi wa mfumo wa kuiba maamuzi ya watz
 
Hujui unachozungumza!
 
Back
Top Bottom