Labda awe Rais wa karatu hii nchi ina wenyewe mtaangaika kugombea hadi mfe kwanza na umri wake ule mpaka atafia jukwaani Urais wa nchi hii hata kaa akasikia harufu yake.Labda Raisi wa kukomba wa.. za watu
Rais yupi, Kikwete? Ama?
Ujana wake nayo ni sifa? kwani ukiwa mzee huwezi kuwa rais?
sababu za kuto mchagua Zitto Kabwe
1. hana sifa ya kugombea urais coz hajatimiza umri unaotakiwa na sheria
2. hana sifa ya kugombea coz ana uchu wa madaraka
3. hana sifa ya kugombea urais coz hana Busara na hekima
4. hana sifa ya kugombea coz anatumiwa na ccm
Zitto for 2025!
Mmwanaume rijali kama kweli ni rijali, una hela na maisha mazuri umefikia umri wa kuitwa mtu mzima basi ni lazima uwe na mke, kama hujaoa hapo lazima tujiulize mara kumi kumi. Something is not right here. na kwa nini usoni mbona kama amejichubua awe mweupe????5. Hana familia ni muhuni flan
6. Ni fisadi wa haki na mzindaki
7. Elimu Yake ya kuunga unga
8. Anapenda starehe kuliko kazi
9. Ni mtu wa propaganda Kama nape na ni remote ya ruling party kudhoufisha upinzani na kuhadaa watz
10. Mali zake zinatia mashaka kwani usafiri wake hata Mkuu wa kaya Hana.
11. Sio mtu wa kumuamini amekaa kidini zaidi, Mimi ni Islam lakini simpendi ni mbaguzi sana
12. Yuko kimaslahi na sio kitaifa Kama anavotuaminisha
13. Ninashaka na urijali wake anaweza kutuletea ucameroon kwa ujumla hafai, ongezea hapo chini yako mengi tuu nawasilisha.