Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 16,540
- 18,644
Huu ni mchuano wa wazi kati ya wawili hawa katika kupima yupi anafuatiliwa zaidi ya mwenzake. Ka-thread ka Magufuli akiwa Singida mpaka sasa hivi kametembelewa na watazamaji elfu moja na usheee, wakati ile ya Lowassa akiwa Pemba imetembelewa na watazamaji zaidi ya elfu 14 na usheee!! Hii kama ingekuwa kura ya maoni kwa mtazam,o wangu Lowassa yuko kwenye kiwango cha heavy weight, wakati Magufuli yuko katika feather weight. Huku ni kumnyanyapaa huyu bwana hatauweza huu mchuano!! Mimi ningekuwa Magufuli ningejitoa mapema ili kuepusha fedheha hapo tarehe 25/10/2015.
Sijui wenzangu mwaonaje hii habari? Ingekuwa huku kwetu kwenye zile ngoma za "Wighashe", Lowassa angetangazwa mshindi mapemaaaaa!!! Haiwezekani wewe uwe na watazamaji elfu 1 tu wakati mwenzio ana zaidi ya elfu 14 halafu useme eti itachanganya jioni!!
LOWASSA NDO RAIS!!!