Uchaguzi 2020 Kwanini nitampigia kura Magufuli baada ya kumpigia Lowassa 2015

Dr Bill

JF-Expert Member
Aug 26, 2020
348
500
Watanzania hawajawahi kuwa wajinga hata siku moja, ni fikra za CHADEMA tu kuwa kanyomi ka Lissu kanaweza badilisha uhalisia kuwa Magu hana mpinzani. Tuwe Wakweli kwenye nafsi na tusijifariji huku Mitandaoni yanayoandikwa in Tofauti kabisa na Hali halisi kwenye uwanja Wa vita. Kama ni idadi ya watu kujaaa kwenye mikutano ndio kungeamua Mshindi Wa uchaguzi ni nani basi Mkubali mgombea Wa CCM angeshinda kwa kishindo sana. Nini kinaweza kukuambia nani ana nafasi kubwa ya kushinda?

Mosi, angalia number ya wanachama wa vyama husika, haipingiki kwamba CCM inawanachama wengi Sana zaidi ya vyama vyote hata vikiungana huwezi pata Nusu ya number ya CCM. Hawa ni wapiga kura kibindoni hi ni chenga ya Kwanza waliopigwa wapinzani mapema kabisa CCM haikusubiri uchaguzi kupata wapiga kura inawo Wa kutosha Tayari.

Kutokuungana Nguvu kwa wapinzani inafanya uchaguzi kuwa mwepesi sana kwa CCM maana vikura vya wapinzani vitagwanwa na mwisho Wa siku ni CCM anakuwa mshindi. Tukumbuke Pamoja na Lowassa kuja upinzani aliunganisha kura mpka kufikia Asilimia 45+ je Leo itakuwaje CHADEMA peke yake kiukweli ni ndoto kufika hizo asilimi tena, Je CCM bado wana asilimi 55+ au wameongezeka? kwa record aliyoionyesha Magufuri kwenye utendaji wake lazima ukubali possibility ya wapiga Kura kwa CCM itaongezeka NAOMBA KUKIRI BINAFSI 2015 NILIMPIGIA KURA LOWASSA. Ila baada ya kulizishwa na mwenendo Wa Rais Magufuri Amenibadilisha Fikra na kuniamisha kuwa ndiio Kiongozi atakeipeleka Tanzania kwenye next level

SO I WILL VOTE FOR MAGUFULI THIS TIME. You may Ask why
1. Kwa jinsi alivyodeal na swala la Madini
2 Kukomesha ufisadi
3. Kurudisha heshima kwa watendaji serikalini
4 Ndoto aliyonayo kwa Tanzania kwa kweli inanifanyaa niamini Huyu rais ataeweza tuvusha
5. Alivyodeal na Coronas

Mwisho niseme kwa wale wanaodai Magu ni Dikiteta Yes Anaweza kuwa Dekteta kwa wale wasioitutakia mema Tanzania. Let him be Dikiteta kwa Mafisadi yes kwa watorosha madini yes let him be kwa wauza unga yes let him be kwa wapiga deal yes let him be.
Mwisho niseme

HAKAUNA SAFARI YA MAENDELEO ISIYO NA MAUMIVU KW WALE WATAKAOGUSWA NA MAUMIVU WAVUMILIE TU KWA MANUFAA YA WOTE
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom