Kura ya Hapana yazidi kupaa CHADEMA , Humphrey Polepole, Prof. Lwaitama na Askofu

Nami naungana nao kusema kura yangu ni Hapana kwa katiba inayopendekezwa na kwa kila mgombea yoyote kwa ngazi yoyote atakaegombea nafasi yoyote kwa kupitia ccm
 
... Kwenye Pollbox Inabidi Tufanye Mikakati Ya Kuwazuia Maccm Kuchakachua Vinginevyo Tutaishia Kuvuna Mabua Kama Ilivyokua Bmk
 
tujiangalie. Ila kiukweli hakuna aliyenishauri .Ngoja niendelee kusubiri Kwani karibu hoja zote ni za kifikra siyo scentific . Na mifumo ya kuishi haiendeshwi kwa fikra ninavoelewa . Ila cha Msingi tuelimishane kihalisia masuala ambayo kiukweli siyo mazutri kwa jamuhuri ya muungano wa Tanzania sio kwa makundi , haswa yasiyolitakia mema Taifa safi na la kuigwa la Tanzania Duniani kote na kwa kuwa Watanzania watu wa busara kubwa isiyo kuwa na masalia ya akili ya Viroba na Bangi watelewa .Ila kw ushauri mzuri tuielimishe jamii vizuri ili itelewe isiwe kupinga kila kitu ndani ya katiba iliyopendekezwa .Na kiujumla km mtu hutaki haki yako mwenyewe sijui kma ya ndugu yako au jirani yako kama unaweza kuithamini .Naomba elimu zaidi hadi sasa kwangu hii katiba iliyopendekezwa sijapata makosa ya kuboa , ila nilikelwa na kitendo cha Wajumbe wengine kukimbia kikao wakati wamepokea posho , halafu wanawahi mitaani wakati wangebaki ukute hayo wanayoyapinga ambayo hayajathibitika vizuri kama ya kweli , yangepatiwa ufumbuzi kwa njia ya maridhiano:wof::llama::A S-eek:
 
ebaeban , ulizotoa ni hoja sawa lakini nachotakakujua na kuelewa kwa wewe ulitaka madaraka ya Rais yaweje. Na hata yakiwa kama unavyotaka harafu haki ya kuishi na kuulinda muungano wa Tanzania ambayo ndiyo tunu yetu kwa karne ya sasa vikaondolewa , unaona itakuweje kwa vizazi vijazo. Au tupinge katiba iliyopendekezwa ili tuipate Tanganyika yetu ambayo kwa mtu aliyezaliwa kuanzia miaka ya 1967 haelewi ilitokana na nini na kwanini iliitwa Tanganyika , na isiitwe MBEYA au DAR ES SALAAM .Naomba nieleweshwe ili tuwe pamoja , am sorry .Nachoomba ni ushauri tu .:hail:

Mkuu kama hujaelewa wewe piga unavyoona.KUMBUKA samaki mmoja akioza tenga zima limeoza. Mimi na familia yangu wakiwemo wake 6 na watoto wenye uwezo wa kupiga kura 35 tutapiga kura ya HAPANA
 
'''''''''''''''''''''
nasema hapana ina maana gani , kwani hutaki hata haki ya kuishi , kuabudu , kusoma , kuishi , kuenzi muungano , kuilinda Tanzania kwa gharama yoyote , Demokrasia , haki za binadamu kwa ujumla ,n.k. Naomba unieleweshe ili ikae vizuri . Na , tusaidie vipi ambavyo ni hapana kwenye katiba iliyopendekezwa ili tusije tukabatizwa hapana kw kila kitu tuakaonekana ni wehu kitaani .Please nieleweshe.
Hata iliyopo haya yote yamo, suala ni madaraka ya viongozi kupunguzwa, mtu anafanya jimbo kama nyumbani kwake? vipindi 3 vinatosha, sio mtu aendelee kujilimbikizia mali wengine wakibaki maskini, nyambafu
 
Nami naungana nao kusema kura yangu ni Hapana kwa katiba inayopendekezwa na kwa kila mgombea yoyote kwa ngazi yoyote atakaegombea nafasi yoyote kwa kupitia ccm

Viongozi wa CCM wa chini kama balozi ;wanakosa gani
 
:llama::llama::llama::couch2:pipii . May jesus . Mungu ni mzuri sana kwa kuviumba viumbe vya aina nyingi na vyenye akili tofauti angalie hivyo eti vinakimbia kwa kusheki kutokana na kutokujua kwa kukimbilia . Eti walikokuwa wanakimbilia kusaidiana nao kuvamia wamegeuka kuwa Wazalendo wakubwa na wanaiba wabarikiwe .Pole sana kwa mtu ambaye unapiga kura ya hapana hata kwa usilo lijua , unafananishwa na :A S 109:eek:gopa kivuli men eti ee..

Asante kwa yote! Ila nimesema HAPANA!!!
 
The constitution has been created on a wicked environment. It lack legitimacy for being monopolised by a group in our society. It deserve rejection on principle ground. It is like a nice food cooked in a toilet

You stole my brain away!! Like it man
 
... Kwenye Pollbox Inabidi Tufanye Mikakati Ya Kuwazuia Maccm Kuchakachua Vinginevyo Tutaishia Kuvuna Mabua Kama Ilivyokua Bmk
Uchakachuzi tutaufanya kwa tabaka la chini ambalo ndio lina watu wengi na wengi wameishia la saba kwa kujitahidi.
Tutawaambia wapingeni wanaosema hapana, wanataka wawe viongozi wao tu, nyinyi msiosoma msipate nafasi yoyote.
Ukipandikiza sumu kwa mtu mwenye uelewa mdogo kumtapisha ni NGUMU MNO.
Kama tulivyopandikiza sumu ya UDINI
 
mi nashsuri kura ziwe mbili kila mtu achague ya SIRI au YA WAZI .
 
Hapana-with very simple logic....'tuko hapa tulipo kwa sababu ya udhaifu wa uongozi na uwajibikaji...na sivinginevyo.

Watunzi wa katiba hii wameakikisha utawala hauguswi...wanabakia madarakani hata vitukuu wao....wanateua kwakadri wanavyotaka.

Tuna mali asiri za kutosha, tuna watu....tatizo ni uongozi, uongozi wa mazoea chini ya ccm, viongozi wenye kiburi

Tafadhari....polisi, jeshi...kaa mbali na siasa....tuachie ccm tuwaoneshe karne tuliyomo....hatuitaji tena uongo, hatuitaji ulaghai wa Kinana anayejufanya kuomba msamaha na kuipinga serikali yake..

Tuko tayari kuwaonesha sisi si wa midhaa tena!
 
Na mimi nasema Hapana,ila magamba wakae wakijua ukitengeneza rasimu ya kulazimisha,wananchi watapiga kura ya Hapana tuuu!
 
Back
Top Bottom