ebaeban , ulizotoa ni hoja sawa lakini nachotakakujua na kuelewa kwa wewe ulitaka madaraka ya Rais yaweje. Na hata yakiwa kama unavyotaka harafu haki ya kuishi na kuulinda muungano wa Tanzania ambayo ndiyo tunu yetu kwa karne ya sasa vikaondolewa , unaona itakuweje kwa vizazi vijazo. Au tupinge katiba iliyopendekezwa ili tuipate Tanganyika yetu ambayo kwa mtu aliyezaliwa kuanzia miaka ya 1967 haelewi ilitokana na nini na kwanini iliitwa Tanganyika , na isiitwe MBEYA au DAR ES SALAAM .Naomba nieleweshwe ili tuwe pamoja , am sorry .Nachoomba ni ushauri tu .:hail:
Hata iliyopo haya yote yamo, suala ni madaraka ya viongozi kupunguzwa, mtu anafanya jimbo kama nyumbani kwake? vipindi 3 vinatosha, sio mtu aendelee kujilimbikizia mali wengine wakibaki maskini, nyambafu'''''''''''''''''''''
nasema hapana ina maana gani , kwani hutaki hata haki ya kuishi , kuabudu , kusoma , kuishi , kuenzi muungano , kuilinda Tanzania kwa gharama yoyote , Demokrasia , haki za binadamu kwa ujumla ,n.k. Naomba unieleweshe ili ikae vizuri . Na , tusaidie vipi ambavyo ni hapana kwenye katiba iliyopendekezwa ili tusije tukabatizwa hapana kw kila kitu tuakaonekana ni wehu kitaani .Please nieleweshe.
:llama::llama::llama::couch2ipii . May jesus . Mungu ni mzuri sana kwa kuviumba viumbe vya aina nyingi na vyenye akili tofauti angalie hivyo eti vinakimbia kwa kusheki kutokana na kutokujua kwa kukimbilia . Eti walikokuwa wanakimbilia kusaidiana nao kuvamia wamegeuka kuwa Wazalendo wakubwa na wanaiba wabarikiwe .Pole sana kwa mtu ambaye unapiga kura ya hapana hata kwa usilo lijua , unafananishwa na :A S 109gopa kivuli men eti ee..
The constitution has been created on a wicked environment. It lack legitimacy for being monopolised by a group in our society. It deserve rejection on principle ground. It is like a nice food cooked in a toilet
Uchakachuzi tutaufanya kwa tabaka la chini ambalo ndio lina watu wengi na wengi wameishia la saba kwa kujitahidi.... Kwenye Pollbox Inabidi Tufanye Mikakati Ya Kuwazuia Maccm Kuchakachua Vinginevyo Tutaishia Kuvuna Mabua Kama Ilivyokua Bmk