18 NEEET kama ilivyoahidiwa.View attachment 2371679
Mzigo wa himars umeongezwa sasa mtubad usa kaweka 18 new.....[emoji23][emoji23][emoji23]
18 NEEET kama ilivyoahidiwa.View attachment 2371679
Mzigo wa himars umeongezwa sasa mtubad usa kaweka 18 new.....[emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha haUkraine Sukuma moto sukuma moto bado kidogo putin anafika kileleni...
Putin ameminywa kila sehemu kuanzia hajui aanze na lipi Aache lipi kadiri siku zinavyosonga mbele ndipo Hali yake kiuchumi,kijeshi na usalama vinazidi kupotea.
Bomba Hilo ni uchumi wa Russia anategemea, Putin kazi anayo tena kubwa