KUPYANSK: Russia yarudi nyuma

KUPYANSK: Russia yarudi nyuma

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,145
Reaction score
3,765
Jeshi la Urusi limeondoka Kupyansk, likirudi nyuma wakati wa shambulio la majeshi ya Ukreni.

Kulingana na vyanzo mbalimbali, kwa wakati huu vitengo vya jesh la Urusi vimeondolewa kabisa kutoka Kupyansk. Vyanzo vinaamini kuwa Vikosi vya Wanajeshi vya Urusi havitaweza kupata tena Udhibiti.

Wakatihuo huo wanajeshi wa ukraine washambulia Bomba la gesi katika mkoa wa kherson.

Habari nyingine tika Russia zinasema tukio la Nord Stream limetokea katika eneo linalodhibitiwa na inteligensia ya Marekani - Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi.

IMG_8092.jpg
 
Putin ameminywa kila sehemu kuanzia hajui aanze na lipi Aache lipi kadiri siku zinavyosonga mbele ndipo Hali yake kiuchumi,kijeshi na usalama vinazidi kupotea.
Bomba Hilo ni uchumi wa Russia anategemea, Putin kazi anayo tena kubwa
 
Kwahiyo kazi imeanza tena jamaa wanatimuliwa tena mbio kazi kweli kweli, Ukrean jana walipewa ujumbe mzito kutoka US kwamba sasa wawe tayari kumchapa Mrusi nafurahi kwamba kazi imeanza, kazi iendelee tu ndio hakuna namna
 
Jeshi la Urusi limeondoka Kupyansk, likirudi nyuma wakati wa shambulio la majeshi ya Ukreni.

Kulingana na vyanzo mbalimbali, kwa wakati huu vitengo vya jesh la Urusi vimeondolewa kabisa kutoka Kupyansk. Vyanzo vinaamini kuwa Vikosi vya Wanajeshi vya Urusi havitaweza kupata tena Udhibiti.

Wakatihuo huo wanajeshi wa ukraine washambulia Bomba la gesi katika mkoa wa kherson.

Habari nyingine tika Russia zinasema tukio la Nord Stream limetokea katika eneo linalodhibitiwa na inteligensia ya Marekani - Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi.

View attachment 2371528
Ngoja warusi WA madongo kuinuka waje wakwambie ni strategy
 
Wameshamweka kati kwa hiyo anapaswa kujipanga kweli kweli! Otherwise ameyaweka majimb hayo yaliyopiga kura kujiunga na nchi yake kuwa hatarini! Yanaweza kuasi na kumgeuka ikawa bara zaidi.Sina hakika kama ana nguvu za kutosha kijeshi kuyalinda!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom