Kupunguzwa Posho na Marupurupu za wabunge itatusaidia?

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
Wabunge wetu wanalipwa mishahara mikubwa, posho ya kujikimu, posho ya kukaa vikaoni, kiinua mgongo mwisho wa kipindi cha ubunge, n.k. wakijumlisha zote wanapata wastani wa zaidi ya milioni kumi kwa mwezi. Kodi hawalipi. Hii inawafanya kuwa kati ya kundi linalojikusanyia fedha lukuki na kuwaacha wapiga kura wao wakiishi chini ya mlo mmoja.

Je Wabunge wa Tanzania wakilipwa mishahara ya kawaida, ikakatwa kodi, posho na marupurupu sawa na wabunge wa Burundi, Rushwa itakoma? maana kwa sasa wanahonga sana kuingia bungeni ili wazipate hizi, kama hazipo kiasi hicho, uhongaji utaendelea?

QUALITY
 
Back
Top Bottom