Kabembe
JF-Expert Member
- Feb 11, 2009
- 2,548
- 1,744
Wakuu bado sijaelewa,hivi serikali imefikia wapi kuhusu hili suala la kupunguza ada za shule binafsi,maana for sure wazazi tumekuwa kama mateka wa hizi shule zinazomilikiwa na watu binafsi,wanasiasa,viongozi,wastaafuu mbalimbali ambao kwa kutumia nafasi zao serikalini walivuruga mfumo wa elimu na kudhoofisha elimu na hasa shule za umma ili kuzipa nafasi shule zao ambazo ada ni zaidi ya ada ya vyuo vikuu.
Last edited by a moderator: