Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

Aisee mkuu mfanyie kauchunguzi, usijekuta we mwaminifu kwa nia njema. Halafu yeye si mwaminifu.
Hako ka likizo,japo kafupi unaweza pata clue ya mabadiliko yake.
 
Akili kichwani ndugu. Mimi najisemea wakati mwingine IMANI ni Upumbavu. kuna shida hapo. asikwambie mtu. huyo tayari mna-share na njemba.
 
Kwanza fahamu kwamba kwa mwanamke the less she does the less she wants, tofauti na mwanaume ambae the less he does the more he needs.
Pili mke wako anaweza kua amepoteza interest sababu kazi za mtoto, changa na kazi za nyumbani, zimemzinga. hivo hana muda kabisa za kufikiria maswala ya kukupenda.
Jaribu hivi:
  • tafuta ndugu yake atake kaa hapo home wawe wanasaidiana. unaweza kuleta housegirl ila anahitaji mtu wakuongea nae mambo yake.
  • wakati haupo hakikisha anajua unamkumbuka na unamtamani, aanze kufahamu kwamba ukija utahitaji mamboz
  • ukiwa nae usifocuss sana kwenye ku-do. sex inaanza kwenye maongezi na alama mbali mbali mchana kutwa na jioni, usiku mnakamilisha tu (na manaweza kamilisha hata mchana, it doesn't matter)
  • Usijiulize atakusaidiaje kumaliza shida zako, jiulize anashida gani na utamsaidiaje kuzimaliza, alafu ndio ufikirie shida zako hizo
  • ongea nae kuhusu issue ya "K" yake kubadilika. inaweza kua sababu ya uzazi, ila faham hawezi kuanza kubadilika kama hajui anatatizo hilo. akijua atatafuta ushahuri kwa shangazi na ataambiwa cha kufanya.
Good luck
 
Bugota, kuhusu kupunguza hamu ya mapenzi; hata mimi nikikaa peke yangu kwa muda mrefu ndivyo stimu inakata wanawake wengi ni shahidi!

Kuhusu uke kulegea inaonekana kipindi cha ujauzito na baada ya kujifungua hakufanya mazoezi ya kustrengthen muscles za uke wake (mwambie zoezi rahisi ni la kukojoa kwa kukatiza katiza mkojo).

Kuhusu Maji kuongezeka kama alivyosema bebii hata nami sijui! Huenda ikawa infection!

Usikimbilie kuamini anakusaliti jiamini tu;wachakachuaji kufake kuenjoy mapenzi sio shida! Huyo mkeo mwili umecope na situation. Hapo juu nimesema mimi hiyo hutokea lkn huisha with time; na matokeo yake mimi nakuwa nadai zaidi ya jamaa!
 
pole sana.....hisia zako zitakupeleka kusiko.................................masuala mazito kama haya wasiliana na daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake kwa ushauri wa kitaalamu zaidi..........
 
Kwa kuwa anatumia uzazi wa mpango yaweza kuwa ndio chanzo lakini cha muhimu ni kukaa na kujadiliana ili aende akacheki kwa dokta.
 
Mkuu tatizo unalikuza tu mwenyewe, sio kubwa kama unavyodhani.

Kwa uzoefu wangu wa zaidi ya miaka 20 na wanawake, dalili anazoonyesha mkeo hazimaanishi anakusaliti. Sisemi kwamba hakusaliti, ila dalili ulizoona hazihusiani kabisa na usaliti. Kulegea ni jambo la kawaida kwa mwanamke aliyezaa. Kuwa na maji ni dalili njema kuwa anaenjoy sex... Unajua baadhi ya wanaume tuandhani mwanamke kuwa mkavu ndio nzuri, kumbe ina maana hayuko tayari kwa sex, au anapata maumivu. kuwa na maji ina maana kuna hormones nyingi (oxytocin, oestrogen), zinazoashiria kuwa maungo yake yako tayari na hapati kero na hicho kitendo.

Kwa kesi yako sishangai maana kwa muda unaokaa kabla ya kukutana nae ni dhahiri ukikutana nae maungo yake yatakuwa na stimulation kubwa inayosababisha majimaji yawe mengi. Hivyo badala ya kumlaumu (masikini nae kwa kutokujua anadhani ana tatizo), mpongeze kuwa anaikubali sex.

Kuhusu manjonjo, angalia sana kuna manjonjo ambayo yanaweza kukufanya ukaboa, badala ya kuvutia...
 
Jaribu kuwa nae karibu na umchunguze dawa za majira/uzazi alianza kuzitumia lini na dalili za kubadilika zilianza lini.

Ni ukweli kwamba dawa hizi sio nzuri kwa kila mama kwani kuna wengine wakitumia huanza kuwa na irregular bleeding ie haiji kwa wakati wake au sometimes inakuwa prolonged unusual. Kitu kingine cha kujiuliza hayo majimaji anayotoa ni ya kawaida au ni dalili za infection. Ni vizuri usiichukulie sana kwa upande wa hasi kwani unaweza ukamwacha kwa sababu ambazo hazina ukweli.

Mimi naamini kuwa ndoa ni kwa shida na raha. Hivyo jitahidi kumsaidia.
 
Bugota, kuhusu kupunguza hamu ya mapenzi; hata mimi nikikaa peke yangu kwa muda mrefu ndivyo stimu inakata wanawake wengi ni shahidi!

Kuhusu uke kulegea inaonekana kipindi cha ujauzito na baada ya kujifungua hakufanya mazoezi ya kustrengthen muscles za uke wake (mwambie zoezi rahisi ni la kukojoa kwa kukatiza katiza mkojo).

Kuhusu Maji kuongezeka kama alivyosema bebii hata nami sijui! Huenda ikawa infection!

Usikimbilie kuamini anakusaliti jiamini tu;wachakachuaji kufake kuenjoy mapenzi sio shida! Huyo mkeo mwili umecope na situation. Hapo juu nimesema mimi hiyo hutokea lkn huisha with time; na matokeo yake mimi nakuwa nadai zaidi ya jamaa!

Hasa kama anatumia vijiti. Maji kibao na mashine inaanchia. Njiti si mchezo.
 
Kwanza fahamu kwamba kwa mwanamke the less she does the less she wants, tofauti na mwanaume ambae the less he does the more he needs.
Pili mke wako anaweza kua amepoteza interest sababu kazi za mtoto, changa na kazi za nyumbani, zimemzinga. hivo hana muda kabisa za kufikiria maswala ya kukupenda.
Jaribu hivi:
  • tafuta ndugu yake atake kaa hapo home wawe wanasaidiana. unaweza kuleta housegirl ila anahitaji mtu wakuongea nae mambo yake.
  • wakati haupo hakikisha anajua unamkumbuka na unamtamani, aanze kufahamu kwamba ukija utahitaji mamboz
  • ukiwa nae usifocuss sana kwenye ku-do. sex inaanza kwenye maongezi na alama mbali mbali mchana kutwa na jioni, usiku mnakamilisha tu (na manaweza kamilisha hata mchana, it doesn't matter)
  • Usijiulize atakusaidiaje kumaliza shida zako, jiulize anashida gani na utamsaidiaje kuzimaliza, alafu ndio ufikirie shida zako hizo
  • ongea nae kuhusu issue ya "K" yake kubadilika. inaweza kua sababu ya uzazi, ila faham hawezi kuanza kubadilika kama hajui anatatizo hilo. akijua atatafuta ushahuri kwa shangazi na ataambiwa cha kufanya.
Good luck

Duuh! Wanaume tuna kazi kweli kweli.
 
Pia alisema ameanza kutumia dawa za uzazi wa mpango, ,kitu ambacho tulikuwa hatujawahi kujadiliana.

Hili ni TATIZO. kibinadamu haiingii akilini. Umeshawahi kupiga magoti kwa muumba wako ukimuombea mkeo afanye majukumu yake ya ndoa ili shetani asije katikati yenu?
By the way mission ya shetani ni kusambaratisha familia ambayo kwa sisi wenye imani ya kikristu ni kanisa. Na anaaza kwa mtu wako wa karibu kabisa,mke/mume au mtoto. Maumivu ya kichwa huanza pole pole..............

Solution ni Mungu pekee mkuu
 
Unamwacha mkeo unakwenda mgodini, anabaki na suluba la maisha
hivi kweli unategemea umkute kwenye hali nzuri kama ulivyomuoa
siamini kabisa kama ana mwanaume mwingine, wewe tu ndo
umeshindwa kumfanya arudi kwenye ile hali yake ya zamani.
ungekuwa wewe ndiye huyo mama yangekukuta makubwa zaidi ya hayo ya kwake.
 
Back
Top Bottom