Kupumulia mdomo!

Richbest

Senior Member
May 23, 2011
101
24
Heri ya mwaka mpya wadau wote! Nikiwa nakimbia huwa naishiwa pumz inanibidi nipumulie na mdomo je kuna ubaya hapo?
 
Ubaya ni vumbi kungia, pua imetengenezwa maalumu kuzuia vitakataka kuingia kwenye mapafu.

Punguza speed mpaka uzoee!!
 
Ukikimbia unashauriwa kutopumua sana hasa kwa kutumia mdomo maana kwa kufanya ivo husababisha kuchoka mapema. Hakikisha unapumua kidogo kidogo yaani unavuta pumzi nyingi afu unaanza kuitoa kidogo kidogo husaidi usichoke try to apply it
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom