Kupoteza Hamu ya Ngono kwa Mume Wangu: Je, Mimi Nipo Peke Yangu?

Teh teh teeeh!
Wanaume si mmeambiwa muwe watazamaji lakini?
 
Uko peke yako. Tatizo unaonjwa nje.
 
Chepuka tu unafikiria mumeo angekuchoka angejiuliza mara mbili mbili kuhusu kutafta taste nyingine.
Maisha ni haya haya umekichoka chakula flani unabadilisha tu
Sasa Kama kamchoka Mumewe si aombe talaka tu asepe zake huko hamu zake ziliko!!?
 
Ushahamisha hisia kwa wanaume wengine wewe,huo ndo mwisho wako
 
Walau hili linakuwa jibu la kueleweka. Sio kusema eti yeye peke yake anapitia mapito ya namna hiyo kwenye ndoa.
 
Nasisi wanaume tunakumbana na hiyo changamoto ndio maana unaona hata mawaziri wadogo wanachemka na wanafunzi wa vyuo vikuu mbali mbali.
Kikubwa mwenza wako asijue especially Kama unamuogopa, maana akijua huyo mchepuko atajua hajui.



Kumbe kuna wanaume huwa wanaogopa wake zao?

Sijui wanakuwa wamewaroga?!

Au wanawaheshimu?!

Lakini heshima Ndiyo ukimbie hadi kuhatarisha maisha kama yule naibu?!
 
Shukrani mkuuu umeongeaa uhalisiaa...Ila comment za watuu humu ni too judgemental
 
Relax babe, it happen sometimes. Na pia angalia family planning Kama unatumia maana huwa inafanya mwanamke anakosa hamu ya sex. Unaweza pia jaribu cinnamon +Honey in hot water to boost your libido.
 
Upendo ukiisha ndani ya ndoa unalala kitanda kimoja na adui. Maisha yetu ya ki-africa inaweza kuvumilia hali km hii yenye MAUMIVU makali ya kihisia kwa sababu za kijinga tu, mathalani km unavyosema ni baba Bora, aibu ya kuachika na kufikiria watoto.

Duniani hapa, tupo kwa ajili ya Mambo mawili tu. Jambo la kwanza ni KUPENDA na la pili na KUPENDWA. Bill gate alipoona hampendi tena mke wake hapohapo akamuacha! Sababu ya kumuacha alisema hajamkosea chochote lkn tu hampendi tena!! Ogopa sana MAUMIVU ya kihisia! Kila linapokuijia unapunguza masaa mawili mpaka 7 ya kuishi hapa duniani. Uamuzi ni wako!
 
Mimi kama mwanaume, japo sitakiwi humu nasema hivi.. Amini na kuambia muda sio mrefu ndoa yako utaivunja mwenyewe kwa mikono yako kutokana na upumbavu wako..

Na hakika utajutia sana kitendo cha kuivunja ndoa yako mwenyewe.

Sasa chagua kuivunja ndoa yako uchekwe na wanawake wenzako kwa upumbavu wako au utulie kwa mumeo
 
nyinyi kila mtu munamrukia na umalaya kama vile wenyewe ni malaika na wala hamuna mawazo mengine.

Hebu wacheni huo unafiki wa kuwahukumu wenzenu kwani hiyo ni hali ya kawaida na inawatokea wanaume na wanawake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…