Kupotea kwa Sport 24 Kwenye dish ft 6

Kupotea kwa Sport 24 Kwenye dish ft 6

Jeorpa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
372
Reaction score
223
Jaman kwangu channel ya Sport 24 imepotea kabisa, nimebadili freq lakini haingii kabisa, natumia dish ft 6
 
hiyo chanel ni pasua kichwa mkuu, ili kuipata na signal ikatulia lazima dish ft 8. vinginevyo utakuwa unatwanga maji ktk kinu
 
Back
Top Bottom