Ulitokaje tokaje,nini kilikuwa kimekuzuia?Nilipoyea siku 3 porini wakati nipo darasa la tano, kisa ka mbwa tu...home wakaweka tanga siku ya 3 na mm nikaingia usiku wake *****, sitosahau, zaidi ya saa 72 nimekwama eneo ambalo naona nimezingukwa na mto mm nipo kati kati na mbwa wangu wa3, mto umetengeneza duara alafu mto una ngema za maana, siku nakuja pata akili ya kutoka pale ninsiku ya tatu alfajiri, hapo nishakula sana majani na matunda pori dilijui hata moja, mbwa wamekonda, wamekuwa wapole, mm tumbo limeingia ndani, dah hii siwezi sahau kabisa, ule ulikuwa ni ulimwengu mwingine kabisa.
Ulivyofika home ilikuaje?Nilipoyea siku 3 porini wakati nipo darasa la tano, kisa ka mbwa tu...home wakaweka tanga siku ya 3 na mm nikaingia usiku wake *****, sitosahau, zaidi ya saa 72 nimekwama eneo ambalo naona nimezingukwa na mto mm nipo kati kati na mbwa wangu wa3, mto umetengeneza duara alafu mto una ngema za maana, siku nakuja pata akili ya kutoka pale ninsiku ya tatu alfajiri, hapo nishakula sana majani na matunda pori dilijui hata moja, mbwa wamekonda, wamekuwa wapole, mm tumbo limeingia ndani, dah hii siwezi sahau kabisa, ule ulikuwa ni ulimwengu mwingine kabisa.
Baada ya mimi kuondoka huku home ilikuwa hiviUlivyofika home ilikuaje?
Aisee pole sanaaBaada ya mimi kuondoka huku home ilikuwa hivi
Mama yangu alikuwa ni mfanyabiashara, na hiyo siku ndio alikuwa amerudi, hapo hatujaonana karibia miezi 3, nilikuwa nikiishi kwa babu na bibi mzaa mama,
Nilitafutwa kuanzia mida ya kula yaani saa 7, sikuonekana na sio kawaida yangu, sa 10 mida ya madrassa sikuonekana, saa 12, sikuonekana, wakaanza ingia wasiwasi, taarifa zikaanza kusambazwa kijijini kuwa mjukuu wa fulani haonekani, likapigwa mpaka lile la mgambo, kuna watu hawakulala wananitafuta, kesho yake, taarifa zikapelekwa kwenye vituo vya karibu vya polisi, mpaka mkoani watu wakaenda, ikapita, siku ya tatu ikabidi sasa watu waanze kuhisi pengine nilienda mtoni nimeliwa na mamba ama ndio mambo ya kuwekana misukule maana kijiji chetu uchawi ulikuwa si haba, ndipo babu akaamua waweke hitima basi udhia uishe, kwamba nimekufa
Aisee mi sijawahi ku experience hii kitu kabisa.Inawezekana, na mimi labda niseme hivi .
Mimi nimekuwa hapa jijini kwa zaidi ya miaka 8 sasa, kuna hospitali kubwa sana hapa jijini nilipata ajira na hata kabla ya kuajiriwa pale nilikuwa naendaga sana.
Nikiwa na miezi mitano baada ya ajira [emoji3][emoji3]nilivyofika pale mnazi moja baada ya kushuka kwenye dala dala nikasahau njia ya kuelekea kazini nikawa nazunguka tu mara niende huku na kurudi huku nilitumia kama saa moja kuzunguka, nikasema nimepatwa na nini .akili ikanijia nichukue piki piki , kufika kazini niliwaza sana na mpaka leo nikikumbuka nacheka sana
Baada ya mimi kuondoka huku home ilikuwa hivi
Mama yangu alikuwa ni mfanyabiashara, na hiyo siku ndio alikuwa amerudi, hapo hatujaonana karibia miezi 3, nilikuwa nikiishi kwa babu na bibi mzaa mama,
Nilitafutwa kuanzia mida ya kula yaani saa 7, sikuonekana na sio kawaida yangu, sa 10 mida ya madrassa sikuonekana, saa 12, sikuonekana, wakaanza ingia wasiwasi, taarifa zikaanza kusambazwa kijijini kuwa mjukuu wa fulani haonekani, likapigwa mpaka lile la mgambo, kuna watu hawakulala wananitafuta, kesho yake, taarifa zikapelekwa kwenye vituo vya karibu vya polisi, mpaka mkoani watu wakaenda, ikapita, siku ya tatu ikabidi sasa watu waanze kuhisi pengine nilienda mtoni nimeliwa na mamba ama ndio mambo ya kuwekana misukule maana kijiji chetu uchawi ulikuwa si haba, ndipo babu akaamua waweke hitima basi udhia uishe, kwamba nimekufa
Baada ya mimi kuondoka huku home ilikuwa hivi
Mama yangu alikuwa ni mfanyabiashara, na hiyo siku ndio alikuwa amerudi, hapo hatujaonana karibia miezi 3, nilikuwa nikiishi kwa babu na bibi mzaa mama,
Nilitafutwa kuanzia mida ya kula yaani saa 7, sikuonekana na sio kawaida yangu, sa 10 mida ya madrassa sikuonekana, saa 12, sikuonekana, wakaanza ingia wasiwasi, taarifa zikaanza kusambazwa kijijini kuwa mjukuu wa fulani haonekani, likapigwa mpaka lile la mgambo, kuna watu hawakulala wananitafuta, kesho yake, taarifa zikapelekwa kwenye vituo vya karibu vya polisi, mpaka mkoani watu wakaenda, ikapita, siku ya tatu ikabidi sasa watu waanze kuhisi pengine nilienda mtoni nimeliwa na mamba ama ndio mambo ya kuwekana misukule maana kijiji chetu uchawi ulikuwa si haba, ndipo babu akaamua waweke hitima basi udhia uishe, kwamba nimekufa
InasisimshaBaada ya mimi kuondoka huku home ilikuwa hivi

Hamna cha majani wala nini huo ni ulimwengu mwingine TuHii ya majani ni kweli katika jamii niliokulia imetokea mara nyingi matukio kama hayo. Hata mama yangu mzazi aliwai kupotea lakin mara nyingi lazima ukutane na mtu anae kujua ndio anakushtua we fulani unaena wap huko unazinduka
Mbona kuna jamaa hapo juu kasema mbwa ndo walimpotezaUkiwa na Mbwa huwezi kupotea wanakurudisha nyumbani. Mbwa na paka hata umzungushe vipi iwe usiku au mchana hawezi kupotea mazingira yanayofikika kwa kutembea kwa miguu.
Tulioishi na hao wanyama kwenye mapori manene tunauzoefu wa kutosha.
Katia chumvi tu.Mbona kuna jamaa hapo juu kasema mbwa ndo walimpoteza