Kwahiyo mkuu ulizurula si mchezoIshawahi kunitokea mara mbili kijijini lkn huku mjini sjawahi kutana na ishu km hiyo.
Ila sielewi swala la kukanyaga majani.
Mi niliambiwa kuna ndege flani akikuona kabla ww hujamwona..
Anazungusha kichwa lets say point A na kumaliza point A..
Kwenye ending point anaajiangusha,kitendo cha kujiangusha hapo lazima kama ulikuwa Mbagala unatembea,unajikuta huelewi elewi mazingira mwisho ndo swala la kupotea linaanzia hapo,usiposhtuka mapema uta jikuta upo mkuranga(joking).
Ila huwa ina dumu km dakik 15 flani.
Inawezekana ikawa kweli au ikawa "Hekaya ya abunuhasi".Habari wapenzi.
Nmekua katika mazingira ya kusikia baadhi ya ngano kuwa kuna majani ukiyakanyaga unapotea ,yani unaelekea mahala usipo pajua unazunguka sana ..kiasi unaweza kupatikana au usipatikane kwa muda .
Mama angu ananisimuliaga wao walipoteaga na bibi yake kipindi anakua kwa siku mbili msituni.
Je wakuu haya mambo ni kweli?
khaaaHizi ni zile hadithi za utotoni eti wamasai wakiaba ng'ombe wanageuza viatu vyao ili kuwa hadaa wanao fuatili muelekea wa nyayo zao. Sijui makanyagio ya hao ng'ombe walio ibiwa wali ya geuza je?
Kwahiyo mkuu ulizurula si mchezo
Sasa hawa wanaopotea kutwa?
mkuu itakua kuna namna fulaniSana tu.
Mara ya pili nilikuwa na wenzangu
Tulikuwa tunaenda mahali nilipozoea(nilikuwa napafahamu).
Tulipofika nilijikuta sielewi chochote ikabidi niwe mpole..nikawa nawafuata wao nikawa kimya natafakari nipo wapi na mbona sielewi nilipo?
Nikawa nashindwa kuwauliza wenzangu nikihofia watanicheka.
Mpk tunamaliza mission mm nilikuwa mpole sana..
Fahamu zilikuja nilirudia nikiwa ndani ya gari tunarudi.
Daa sikumwambia mtu nilijiona mi bwege kweli.
Nikikumbuka huwa sielewi ni kwa nn ufahamu ulikata na mwanzo wa kutokufahamu kulianzia wapi sipatagi jibu aisee.
Hy mambo yapo kabisa.
ni kweli aisee ishanitokea siku moja miaka hiyo nikiwa maeneo ya poriniHabari wapenzi.
Nmekua katika mazingira ya kusikia baadhi ya ngano kuwa kuna majani ukiyakanyaga unapotea ,yani unaelekea mahala usipo pajua unazunguka sana ..kiasi unaweza kupatikana au usipatikane kwa muda .
Mama angu ananisimuliaga wao walipoteaga na bibi yake kipindi anakua kwa siku mbili msituni.
Je wakuu haya mambo ni kweli?
Weka picha mkuu ya hayo majanHii ya majani ni kweli katika jamii niliokulia imetokea mara nyingi matukio kama hayo. Hata mama yangu mzazi aliwai kupotea lakin mara nyingi lazima ukutane na mtu anae kujua ndio anakushtua we fulani unaena wap huko unazinduka
duuuuuhhh"" ... sio mchezoMe imesha nitokea kama mara 2 hivi. Mara ya kwanza nilikuwa na bi mkubwa jioni moja tumetoka sokoni tunaelekea nyumbani sasa njia tunayoelekea kukawa na majani hivi na hayo majani yanasemekana yana macho mawili ukilikanyaga hilo jani basi ufahamu unapotea utajikuta unapitiliza unakokwenda, mimi na bi mkubwa tulijikuta tunakaribia kufika mwisho wa makazi ya watu ndipo akakumbuka kuwa huenda tumekanyaga hayo majani na dawa ya kurejesha fahamu kama upo na mtu unampiga mwenzako kofi la mgongoni ndipo unakuwa umerejesha fahamu. Siku ya pili nilikuwa mwenyewe polini aisee kapori ambaka sio kakubwa hauwezi amini nilimaliza siku nzima mpaka usiku ndo fahamu zinarudi