Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,590
- 31,133
Kumradhi nina swali nimeulizwa na mtoto wa shangazi nimeshindwa kulijibu nimeamua kulileta kwenu.
Ivi mtu akitaka kupostipone chuo anaruhusiwa kukaa nyumbani hata miaka minne au mitano halafu baadae aende akaendelee alipoishia?. Yani anataka apostipone mwaka huu halafu aende chuo 2025 maana kapata safari ya kwenda South Afrika, atakaa huko kwa miaka 4.