Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,686
- 140,352
🤔🙃😅😅😅View attachment 3698954
Mambo ya kupostiana nayachukulia kama kuchapisha taarifa binafsi na kwenda kuzibandika kwenye miti ya mtaani kwenu. Yaani ili kuonyesha mkeo unampenda sana basi unaandika tangazo I love you my wife, unaenda kubandika kwenye kuta zote za kijiji na mbao za matangazo. Huu ndio uhalisia wake.
Sasa huu ni ushamba mwingine wa kawaida kabisa. Nani alileta huu ushamba?
Huu ushamba unatuletea kero Mamasta kuonekana mbona haukomenti status zangu? Mbona hujapost happy birthday ya mtoto? Mbona hunipost? Pumbavu kabisa
Mwanaume mzima na akili zako unampost mkeo status, nini malengo yako? Unamnadi ama vipi? Cant you text her i love you, haitoshi?
Kwa hiyo, ili kuondoka na hii kero, nilichagua kumute whatsapp status zooote, kasoro wale tu wanaopost matangazo ya biashara au nasaha za Mungu.
Naunga mkono hoja..View attachment 3698954

Charting ndio kitu gani wewe?Daah,watu wanapost Hadi charting zao.
Graph zile za message 😁Charting ndio kitu gani wewe?
SijuiCharting ndio kitu gani wewe?
Wewe sema tu ulitaka kutuonesha hiyo picha hapo juu, inaonekana ni meme umeipenda ukataka kushare na wanaJF lakini ukakosa maneno ya kuisindikizia, ukaamua kujifanya unataka kukandia watu wanaopost statusView attachment 3698954
Mambo ya kupostiana nayachukulia kama kuchapisha taarifa binafsi na kwenda kuzibandika kwenye miti ya mtaani kwenu. Yaani ili kuonyesha mkeo unampenda sana basi unaandika tangazo I love you my wife, unaenda kubandika kwenye kuta zote za kijiji na mbao za matangazo. Huu ndio uhalisia wake.
Sasa huu ni ushamba mwingine wa kawaida kabisa. Nani alileta huu ushamba?
Huu ushamba unatuletea kero Mamasta kuonekana mbona haukomenti status zangu? Mbona hujapost happy birthday ya mtoto? Mbona hunipost? Pumbavu kabisa
Mwanaume mzima na akili zako unampost mkeo status, nini malengo yako? Unamnadi ama vipi? Cant you text her i love you, haitoshi?
Kwa hiyo, ili kuondoka na hii kero, nilichagua kumute whatsapp status zooote, kasoro wale tu wanaopost matangazo ya biashara au nasaha za Mungu.
Hasa wanawake ndio malimbukeni wa hikiMI kwangu ni lazima
DaahWewe sema tu ulitaka kutuonesha hiyo picha hapo juu, inaonekana ni meme umeipenda ukataka kushare na wanaJF lakini ukakosa maneno ya kuisindikizia, ukaamua kujifanya unataka kukandia watu wanaopost status
Unakuta mtu kampost mpenzi wake au mtoto halafu kamziba sura. Huyu mzima kweli?! Tatizo la afya ya akili is realNaunga mkono hoja..
Mimi nikifikia hiyo stage labda nipost maneno ya mazuri kwake na sio nimpost mwenyewe kila mtu amuone hilo siwezi kamwe
Bongo imekuwa kawaida sasa neno "chat" mtu anachanganya na "chart".Graph zile za message 😁